R Resilience JF-Expert Member Joined Jan 4, 2023 Posts 1,096 Reaction score 4,948 Oct 27, 2023 #1 CCM huko nyuma imewahi kuwa na watu waadilifu kama Jaji Warioba na Mzee Butiku. Je kwa sasa kuna kiongozi mwadilifu?
CCM huko nyuma imewahi kuwa na watu waadilifu kama Jaji Warioba na Mzee Butiku. Je kwa sasa kuna kiongozi mwadilifu?
Mlimani health center JF-Expert Member Joined Nov 25, 2021 Posts 595 Reaction score 1,490 Oct 27, 2023 #2 Resilience said: CCM huko nyuma imewahi kuwa na watu waadilifu kama Jaji Warioba na Mzee Butiku. Je kwa sasa kuna kiongozi mwadilifu? Click to expand... Mwenyekiti wa chama SSH
Resilience said: CCM huko nyuma imewahi kuwa na watu waadilifu kama Jaji Warioba na Mzee Butiku. Je kwa sasa kuna kiongozi mwadilifu? Click to expand... Mwenyekiti wa chama SSH
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Oct 27, 2023 #3 Ungewatafsiria na maana ya uadilifu.Maana kuna vibweka watakueleza wale wapigiwao makofi mengi ya unafiki ndiyo waadilifu.
Ungewatafsiria na maana ya uadilifu.Maana kuna vibweka watakueleza wale wapigiwao makofi mengi ya unafiki ndiyo waadilifu.
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Oct 27, 2023 #4 Resilience said: CCM huko nyuma imewahi kuwa na watu waadilifu kama Jaji Warioba na Mzee Butiku. Je kwa sasa kuna kiongozi mwadilifu? Click to expand... Wao wenyewe hawawaoni afadhali ya Makonda. Jiulize kama afadhali ni Makonda hao wengine je?
Resilience said: CCM huko nyuma imewahi kuwa na watu waadilifu kama Jaji Warioba na Mzee Butiku. Je kwa sasa kuna kiongozi mwadilifu? Click to expand... Wao wenyewe hawawaoni afadhali ya Makonda. Jiulize kama afadhali ni Makonda hao wengine je?
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Oct 27, 2023 #5 Moisemusajiografii said: Ungewatafsiria na maana ya uadilifu.Maana kuna vibweka watakueleza wale wapigiwao makofi mengi ya unafiki ndiyo waadilifu. Click to expand... Hahaha
Moisemusajiografii said: Ungewatafsiria na maana ya uadilifu.Maana kuna vibweka watakueleza wale wapigiwao makofi mengi ya unafiki ndiyo waadilifu. Click to expand... Hahaha