Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
CCM huko nyuma imewahi kuwa na watu waadilifu kama Jaji Warioba na Mzee Butiku. Je kwa sasa kuna kiongozi mwadilifu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti wa chama SSHCCM huko nyuma imewahi kuwa na watu waadilifu kama Jaji Warioba na Mzee Butiku. Je kwa sasa kuna kiongozi mwadilifu?
Wao wenyewe hawawaoni afadhali ya Makonda.CCM huko nyuma imewahi kuwa na watu waadilifu kama Jaji Warioba na Mzee Butiku. Je kwa sasa kuna kiongozi mwadilifu?
HahahaUngewatafsiria na maana ya uadilifu.Maana kuna vibweka watakueleza wale wapigiwao makofi mengi ya unafiki ndiyo waadilifu.