Je unasifika kwa TABIA gani mtaani kwako?

...kuna raia wanasifika kitaa kwa kutokea beki tatu, unakuta karibu kila beki 3 ashabandua...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...

Humu watu ni fekerooo sijapata ona

Full uongoo yaani..
Yaani my dear we acha tu hvu tumewaumbua wamedilisha upepo naona na majambawazi wamejitokeza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
"Don't come for me unless I send for you" [emoji1383]
 
Mie bila kupepesa macho, nasifika kwa kusimamia muda ile kitu wapare tunaita " time management". Hadi mwenyekiti wangu wa mtaa akiitisha mkutano wa mtaa wakitangaza mkutano utaanza saa nane kamili mchana, mie ananitumia sms private kwamba usije kwenye mkutano saa nane kama tulivyotangaza, uje kuanzia saa kumi kamili.
 
😀😀😀

uko vizuri chikira
 
Kumbe ww huna ni mpanga meza kwenye mikutano mtaani kwenu
 
Back
Top Bottom