Hapana sijapata hiyo bahati ya kupanga meza, ila wakitangaza mkutano utafanyika muda Fulani mie huwa ninakuwepo eneo la mkutano. Pia hata kusali Jumuiya mimi ni Katoliki ninawahi sana, kibaruani kwangu ninapotia riziki, bila kusahau nikiitwa kwenye offer ya pombe sichelewi🙄Kumbe ww huna ni mpanga meza kwenye mikutano mtaani kwenu