Je unasifika kwa TABIA gani mtaani kwako?

Je unasifika kwa TABIA gani mtaani kwako?

Kumbe ww huna ni mpanga meza kwenye mikutano mtaani kwenu
Hapana sijapata hiyo bahati ya kupanga meza, ila wakitangaza mkutano utafanyika muda Fulani mie huwa ninakuwepo eneo la mkutano. Pia hata kusali Jumuiya mimi ni Katoliki ninawahi sana, kibaruani kwangu ninapotia riziki, bila kusahau nikiitwa kwenye offer ya pombe sichelewi🙄
 
cjui nikupe offer
 
Jaman kila MTU humu mpole MTU wa watu mkarimu lol [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] M/Mungu nijaalie nipate mume jf mana wote wanasifa sitahili!!!
ha ha watuwengi wa jf lazima waonekane hivyo sababu wengi wanatatizo la kusocialize ha haha jichanganye tu
 
Upole,mtu nisiyependa bad manners groups,ninayejiamini,nisiyependa sifa au kujikweza na ninayefanya mambo yangu kwa usiri sana
 
ha ha watuwengi wa jf lazima waonekane hivyo sababu wengi wanatatizo la kusocialize ha haha jichanganye tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani mkuu usishangae hata scorpion ni kipenzi cha watu nyuma ya keyboard!!!
 
Mzururaj maarufu yan
Hakuna place siijui
 
Mie bila kupepesa macho, nasifika kwa kusimamia muda ile kitu wapare tunaita " time management". Hadi mwenyekiti wangu wa mtaa akiitisha mkutano wa mtaa wakitangaza mkutano utaanza saa nane kamili mchana, mie ananitumia sms private kwamba usije kwenye mkutano saa nane kama tulivyotangaza, uje kuanzia saa kumi kamili.
Acha mm nkuulize swali
La prevent "umeshawahiwa au bado"
 
Mimi wananiitaga eti "NOMA"... n cjajua wanamaanishaga nn
 
yaaani acha tuu
nikiongea na demu tuu
wanajua tayari
nishagusa kipochi manyoya
 
Back
Top Bottom