Je unasumbuliwa na vidonda vya tumbo na hujapata msaada? Dawa hii hapa

Dynamics

Senior Member
Joined
Feb 2, 2024
Posts
159
Reaction score
194
Habari ndugu zangu.

Kwa wale ambao mmekuwa mkisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu na hamjafanikiwa kupata tiba , Leo naomba niwashirikishe dawa hii ambayo imekuwa msaada Sana kwangu.

Nimesumbuliwa na vidonda kwa miaka zaidi ya sita , nilikuwa siwezi kutumia maharage, dagaa, pilipili au vyakula vyenye asidi lakini sasa hivi hakuna nisichokitumia, dawa hii imekuwa msaada mkubwa Sana kwangu.

Endapo umechoka kusumbuliwa na vidonda vya tumbo basi amini dawa hii itaenda kukuondolea shida hiyo na utarejea katika hali yako ya furaha na utulivu.

Matumizi.

Dozi ni ya siku 5 na Ili kukamilisha dozi unapaswa kutumia kwa siku 15.

Dozi ya siku tano ni Shilingi 40000 TU, hivyo dozi nzima ni Shilingi 120000.

Nakuahidi kwa siku tano za awali lazima uanze kuona mabadiliko makubwa, lakini Ili kuvitokomeza kabisa inashauriwa kutumia kwa siku 15.

Dawa inapatikana Dar Es Salaam lakini kwa walio mikoani dawa inaweza kuwafikia pia.

Mawasiliano: 0621396858

Karibuni
IMG-20240601-WA0006.jpg

IMG-20241213-WA0075.jpg
 
View attachment 3187607
View attachment 3187606
Taja jina la mmea. Vinginevyo hiyo chupa inaweza kuwa na nyasi zozote zilizokaushwa.
 
HAPA WANAENDA WATU KULIZWA. HAIELEWEKI NI MCHANGANYIKO WA NINI HUU NA UMEPITISHWA WAPI.USALAM WAKE UKOJE PIA.
 
Tanzania watu wenye uwezo wa kutibu vidonda vya tumbo wapo wachache sana.

Ninae mjua ni mmoja tu yupo Kisarawe vijijini Msanga Zalala. Mtu anapona kabisa vidonda vya tumbo
 
Umelipia tangazo lako?
Any way wewe ni mfanyabiashara kama wafanya biashara wengine ungeonekana wa tofauti endapo ungetaja dawa bure kisha watu ndio wakaja kutoa ushuhuda lakini hii yako ndio ile wanaita kiendacho kwa mganga hakirudi na kikirudi ni pancha.
Unataka upewe bure dawa inayoponya tatizo lako? dawa ni ya uhakika ndiyo maana nikasema wiki moja ya mwanzo lazima uanze kuona mabadiliko
 
Habari ndugu zangu.

Kwa wale ambao mmekuwa mkisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu na hamjafanikiwa kupata tiba , Leo naomba niwashirikishe dawa hii ambayo imekuwa msaada Sana kwangu.

Nimesumbuliwa na vidonda kwa miaka zaidi ya sita , nilikuwa siwezi kutumia maharage, dagaa, pilipili au vyakula vyenye asidi lakini sasa hivi hakuna nisichokitumia, dawa hii imekuwa msaada mkubwa Sana kwangu.

Endapo umechoka kusumbuliwa na vidonda vya tumbo basi amini dawa hii itaenda kukuondolea shida hiyo na utarejea katika hali yako ya furaha na utulivu.

Matumizi.

Dozi ni ya siku 5 na Ili kukamilisha dozi unapaswa kutumia kwa siku 15.

Dozi ya siku tano ni Shilingi 40000 TU, hivyo dozi nzima ni Shilingi 120000.

Nakuahidi kwa siku tano za awali lazima uanze kuona mabadiliko makubwa, lakini Ili kuvitokomeza kabisa inashauriwa kutumia kwa siku 15.

Dawa inapatikana Dar Es Salaam lakini kwa walio mikoani dawa inaweza kuwafikia pia.

Mawasiliano: 0621396858

Karibuni
View attachment 3187607
View attachment 3187606
Dozi ni ya siku 5

Kukamilisha dozi siku 15

???????????????🤣🤣🤣
Hii imekaaje.

Uongo au ukweli
 
Ukiwa na vidonda vya tumbo unatakiwa kwenda hospital kufanya vipimo ili ujue chanzo cha vidonda . Vipo vidonda vinavysababishwa na Na bacteria ambavyo nilazima utumie antibiotics kali ili kuuwa bacteria ndipo vidonda vipone. Vipo vidonda vinavyosababishwa na ulaji mbovu, na vingine Stress. Bila kutambua chanzo cha tatizo hutaweza kujua tiba sahihi. Haya umetibu kidonda lakini bado bacteria wa H.pylory wanachimba vidonda utapona? Ndiposa nawaonya watu kuhusiana na hawa waganga njaa wanaouza madawa huku wakiwa hawana utaaalam wowote kuhusu vidonda vya tumbo
 
Huyo ni mwizi tu.........mimi nilikuwa na hivyo vidonda lakini dawa ya ukweli iliyotuliza wala haizidi thamani ya 20,000.........na vimetulia kabisa mpaka sasa naweza kula vitu tofauti bila shida..........kumbuka dawa ya ukweli ya kutibu tatizo huwa haiuzwi bei kubwa.........mimi nilitumia only 2 vichupa na kubadilisha mfumo wa chakula kwa muda basi hakuna kwek kwek wala cho cho mpaka leo nadunda
 
Back
Top Bottom