Je unasumbuliwa na vidonda vya tumbo na hujapata msaada? Dawa hii hapa

Je unasumbuliwa na vidonda vya tumbo na hujapata msaada? Dawa hii hapa

Kabeji na bamia ni dawa tosha ya vidonda vya tumbo,
Kwa majani tumia mbigili na mziwaziwa,

Kula mlo kamili, kunywa maji mengi, ondoa stress,

Kwishaaaaaa
Hii niliwahi kusikia zamani sana. Juice ya kabeji/ bamia/ karoti
 
Huyo ni mwizi tu.........mimi nilikuwa na hivyo vidonda lakini dawa ya ukweli iliyotuliza wala haizidi thamani ya 20,000.........na vimetulia kabisa mpaka sasa naweza kula vitu tofauti bila shida..........kumbuka dawa ya ukweli ya kutibu tatizo huwa haiuzwi bei kubwa.........mimi nilitumia only 2 vichupa na kubadilisha mfumo wa chakula kwa muda basi hakuna kwek kwek wala cho cho mpaka leo nadunda
Inawezekana huko dawa iliko inauzwa bei poa, ila yeye "kawa winga"🤣🤣🤣🤣
 
Kabeji na bamia ni dawa tosha ya vidonda vya tumbo,
Kwa majani tumia mbigili na mziwaziwa,

Kula mlo kamili, kunywa maji mengi, ondoa stress,

Kwishaaaaaa
Kwa majani tumia mbigili na mziwaziwa, ✅✅
 
Back
Top Bottom