Je unasumbuliwa na vidonda vya tumbo na hujapata msaada? Dawa hii hapa

Kabeji na bamia ni dawa tosha ya vidonda vya tumbo,
Kwa majani tumia mbigili na mziwaziwa,

Kula mlo kamili, kunywa maji mengi, ondoa stress,

Kwishaaaaaa
Hii niliwahi kusikia zamani sana. Juice ya kabeji/ bamia/ karoti
 
Inawezekana huko dawa iliko inauzwa bei poa, ila yeye "kawa winga"🤣🤣🤣🤣
 
Kabeji na bamia ni dawa tosha ya vidonda vya tumbo,
Kwa majani tumia mbigili na mziwaziwa,

Kula mlo kamili, kunywa maji mengi, ondoa stress,

Kwishaaaaaa
Kwa majani tumia mbigili na mziwaziwa, ✅✅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…