Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Angalizo:-
Huu sio uzi wa kidini, ila nitatumia Biblia na vifungu vyake kukuelekeza ni kwa jinsi gani unaweza kupeta kibali, upended, uteuzi, vyeo nk kutoka kwa rais.
KIBALI:-
Kibali ni upendeleo wa Kimungu unaokupa nguvu ya kuingia popote na kupata utakacho. Ndani ya nchi rais ndiye mtu mkubwa zaidi kuliko wote.
Namna ya kupata kibali:-
Mithali 3:1-4
[1]Mwanangu, usiisahau sheria yangu,
Bali moyo wako uzishike amri zangu.
My son, forget not my law; but let thine heart keep my commandments:
[2]Maana zitakuongezea wingi wa siku.
Na miaka ya uzima, na amani.
For length of days, and long life, and peace, shall they add to thee.
[3]Rehema na kweli zisifarakane nawe;
Zifunge shingoni mwako;
Ziandike juu ya kibao cha moyo wako.
Let not mercy and truth forsake thee: bind them about thy neck; write them upon the table of thine heart:
[4]Ndivyo utakavyopata kibali na akili nzuri,
Mbele za Mungu na mbele ya mwanadamu.
So shalt thou find favour and good understanding in the sight of God and man.
[16]Zawadi ya mtu humpatia nafasi;
Humleta mbele ya watu wakuu.
A man's gift maketh room for him, and bringeth him before great men.
KIBALI KUTOKANA NA KUTUMIKI KUSUDI LA MUNGU .
weza kulitambua kusudi la kuumbwa kwako uwe na uhakika kabisa kibali cha MUNGU kitaachiliwa kwako kuhakisha kwamba unalifanikisha. Kbali hiki kilikuwa juu ya MUSA Kutoka 11:3 Bwana akawapa watu hao kibali machoni pa Wamisri. Zaidi ya hayo, huyo Musa alikuwa ni mkuu sana katika nchi ya Misri, machoni pa watumishi wa Farao, na mabalbali choni pa watu wake.
Ukisoma kwa utulivu kuanzia mstari wa pili utagundua kwamba MUNGU aliachilia kibali kwamba kila walichokihtaji kutoka kwa Wamisri wakaweza kupatiwa. Hiki ndicho kibali alichokipata Nehemia mbele ya mfalme na kuruhusiwa kupewa vitu kwa ajili ya ujenzi wa ukuta wa Yerusalemu.
Mungu wetu ambaye hhabadiliki na akuachilie kibali hiki sawa na lile kusudi la kuumbwa kwako katika jina la Yesu.
KIBALI HUJA KWA MAOMBI.
Kuna watu wanasema kibali hakiombwi lakini utamuona Esta na Wayahudi wakiomba kibali kwa MUNGU aweze kupata kibali mbele za Mfalme. Uende ukawakusanye Wayahudi wote waliopo hapa Shushani, mkafunge kwa ajili yangu; msile wala kunywa muda wa siku tatu, usiku wala mchana, nami na wajakazi wangu tutafunga vile vile; kisha nitaingia kwa mfalme, kinyume cha sheria; nami nikiangamia, na niangamie. Esta 4:16
Huu sio uzi wa kidini, ila nitatumia Biblia na vifungu vyake kukuelekeza ni kwa jinsi gani unaweza kupeta kibali, upended, uteuzi, vyeo nk kutoka kwa rais.
KIBALI:-
Kibali ni upendeleo wa Kimungu unaokupa nguvu ya kuingia popote na kupata utakacho. Ndani ya nchi rais ndiye mtu mkubwa zaidi kuliko wote.
Namna ya kupata kibali:-
Kutenda Mema.
- Mithali 12:2
[2]Mtu mwema atapata upendeleo kwa BWANA;
Bali mtu wa hila atahukumiwa naye.
A good man obtaineth favour of the LORD: but a man of wicked devices will he condemn. - Mwanzo 4:7
[7]Kama ukitenda vyema, hutapata kibali? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishinde.
If thou doest well, shalt thou not be accepted? and if thou doest not well, sin lieth at the door. And unto thee shall be his desire, and thou shalt rule over him.
Kushika Neno la Mungu
Mithali 3:1-4
[1]Mwanangu, usiisahau sheria yangu,
Bali moyo wako uzishike amri zangu.
My son, forget not my law; but let thine heart keep my commandments:
[2]Maana zitakuongezea wingi wa siku.
Na miaka ya uzima, na amani.
For length of days, and long life, and peace, shall they add to thee.
[3]Rehema na kweli zisifarakane nawe;
Zifunge shingoni mwako;
Ziandike juu ya kibao cha moyo wako.
Let not mercy and truth forsake thee: bind them about thy neck; write them upon the table of thine heart:
[4]Ndivyo utakavyopata kibali na akili nzuri,
Mbele za Mungu na mbele ya mwanadamu.
So shalt thou find favour and good understanding in the sight of God and man.
Toa zawadi/ Sadaka
Mithali 18:16[16]Zawadi ya mtu humpatia nafasi;