Je unataka kibali na upendeleo kutoka kwa rais? Fuata mbinu hizi rahisi za Kibiblia


Andiko zuri.
Hizo ni very important hints to prosper.
 
Masha Allah
 
Siasa na Mungu ni mafuta na maji

Warumi 13:1-2
Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.
Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.




Ufunuo wa Yohana 5:9-10
Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa,
ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi.
Siasa na Mungu ni mafuta na maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…