Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

[/QUOTE]
udongo wa shambani kwangu ni ule mwekundu tifutifu,hautualmishi maji.
shida iko kwa matikiti makubwa na madogo japo sio yote ni baadhi,
kuhusu maji nategemea mvua na shamba halitwamishi maji,dawa ninayotumia kukinga ukungu ni Ebony
 
Nashukuru mnooo
 
[/QUOTE]
asante mkuu
 
Mkuu nimeipata agrifos 400 na kesho naipiga kwenye matuta kwa hiyo nimesogeza transplanting mbele hadi jumapili. Napata faraja mbegu zinaendele vizuri na zimepata ridomil gold kwani kuna manyunyu manyunyu.
Naendelea kusoma notes hizi kwa ufahamu zaidi. Nimeona sehemu umesema ekari moja ukiwa umeihudumia vizuri yaweza kula krate za30/40kg 500-1500. Hivi ni kweli kuna mkulima ameshapata krate 1500 kwenye ekari moja kweli au ni nadharia?

Asante sana
 

Attachments

  • IMG-20160129-WA0015.jpg
    169.6 KB · Views: 72
  • IMG-20160129-WA0013.jpg
    178.1 KB · Views: 98
  • IMG-20160129-WA0014.jpg
    144.4 KB · Views: 61
Habari Ndugu kilimomaarifa,nashukuru sana kwa darasa lako sasa mm nina tatizo nimelima nyanya aina ya anaF1 kwenye green house sasa natapata tatizo la maua kudondoka,maua yanadondoka sana na unaanza pale kwenye kikonyo panakua pa njano alafu kinakatika na uwa kudondoka sasa sijui nn tatizo pia nyanya kuwa.na michirizi yani nikimaanisha tunda la nyanya kuwa na michirizi nini tatizo? Naomba msaada tafadhari niliongea na watu wa balton kwa.njia.ya simu sikuwaelewa vzr mm.napitakana morogoro asante sana
 
Mkuu Mchwa Naweza Wadhibiti Vp Shamban? Maana Nimekatua Nataka Kupanda Nyanya Wakati Naweka Mabelt Nigundua Pana Mchwa Sana Nifanyaje? Au Hawana Athari?
 
Pia Naomba Kuzifahamu Dawa Zingine Za Ukungu Ambazo Ninatibu Mbali Ya Zile Ulizozitaja Maana Zile Huku Hamna
 
Na Hiyo Duduba Inatumikaje? Naomba Msaada Wa Maelekezo Mkuu Na Jinsi Ya Kuitumia
 
Okey mkuu.
Pdf ya nyanya imeshatoka? Hii ndio namna pekee ya kuchangia haya yote unayoyatoa kwa bure kabisa. Umenifungua akili mno katika kilimo hiki. Nakuwa mtaalamu sasa
Endelea na moyo huu wa msaada
 
Mkuu habari za siku, je udongo wa mfinyanzi unakupa best results kwenye kilimo cha nyanya au ni udongo gani ambao ni bora zaidi kwa nyanya?
 
Mkuu Samahani Natamani Nipande Nyanya Ndefu Kwenye Open Space Kama Je Inaweza Kufanya Vizuri Kama Zile Za Size Ya Kati? Au Kuna Madhara Au Faida Gani Kutumia Mbegu Ndefu Kama Anna Na Nyinginezo?
 
Mkuu Samahani Natamani Nipande Nyanya Ndefu Kwenye Open Space Kama Je Inaweza Kufanya Vizuri Kama Zile Za Size Ya Kati? Au Kuna Madhara Au Faida Gani Kutumia Mbegu Ndefu Kama Anna Na Nyinginezo?
 
Naomba gharama za Maandiko yako ya mboga mboga ili ninunue usiendelee kutoa bure elumu Bila kupata riziki yako kila siku.
 
MKUU SAMAHANI NILIPITIA UZI WAKO WOTE NA KU NOTE POINTS, LAKINI SIKUMBUKI KAMA KUNA SEHEMU NILISOMA KUHUSU VARIETY NDEFU NA FUPI, NAKUMBUKA KUHUSU HYBRID VARIETIES NA NON-HYBRID VARIETIES, JE HIZI HYBRID VARIETIES ZIMEGAWANYIKA KWENYE SIZE NDEFU NA SIZE YA KATI AU SIZE NDEFU NA SIZE YA KATI NDIO MAJINA MENGINE YA KUTOFAUTISHA KATI YA HYBRID NA NON-HYBRID?
 
Mkuu Samahani Naomba Unisaidie Mbegu Za Nyanya Za Hybrid Ambazo Zinastahimili Ukame(zisizohitaji) Maji Kwa Wingi Sana
 
Asante sana kwa Maelezo mazuri sasa icho kitabu cha pdf ntakipateje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…