Emoj
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 839
- 1,304
[/QUOTE]Emoj
NIKUULIZE KIDOGO
1. UKO NA AINA GANI YA UDONGO SHAMBANI KWAKO (JE ULE UDONGO KAMA MCHANGA MWEUPE MWEUPE NDIO UMEDOMINATE?? AU ULE LOOSE MWEKUNDU KAMA PODA AU VUMBI-TIFUTIFU NDIO UKO ENEO KUBWA LA SHAMBA LAKO, AU ULE UNAOTUAMISHA MAJI -MFINYANZI NDIO UKO ENEO KUBWA??)
2. ULIKUWA UKITUMIA DAWA GANI ZA KUZUIA FANGASI (UKUNGU/BARIDI), NA ULIANZA KUZIPIGA LINI (MATIKITI YAKIWA KATIKA UMRI/STAGE GANI??) NA MARA YA MWISHO KUZITUMIA NI LINI MATIKITI YAKIWA NA UMRI AU STAGE GANI YA UKUAJI??
2. JE HIYO SHIDA IKO KWA MATIKITI MAKUBWA TU AU MADOGO AMBAYO YAMEKOMAA AU YOTEE MAKUBWA KWA MADOGO YAKO NA SHIDA HIYO??
3.HALI YA MAJI MAJI IKOJE SHAMBANI KWAKO?? MAJI YANATUAMA AU MUDA MWINGI ANGA LA ENEO LAKO LINAKUWA COVERED NA MAWINGU KWA SANA, AU MAENEO HAYO KUNA MVUA SANA??
="Emoj, post: 15195898, member: 330450"]ndio, ni kama hivyo ila sio vimetobolewa na wadudu, vinakuwa vidoti kama hivyo ila vya brown ambayo ukifanya kama kukanyaga hilo tikiti linatoa maji.
udongo wa shambani kwangu ni ule mwekundu tifutifu,hautualmishi maji.
shida iko kwa matikiti makubwa na madogo japo sio yote ni baadhi,
kuhusu maji nategemea mvua na shamba halitwamishi maji,dawa ninayotumia kukinga ukungu ni Ebony