Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

Emoj
NIKUULIZE KIDOGO

1. UKO NA AINA GANI YA UDONGO SHAMBANI KWAKO (JE ULE UDONGO KAMA MCHANGA MWEUPE MWEUPE NDIO UMEDOMINATE?? AU ULE LOOSE MWEKUNDU KAMA PODA AU VUMBI-TIFUTIFU NDIO UKO ENEO KUBWA LA SHAMBA LAKO, AU ULE UNAOTUAMISHA MAJI -MFINYANZI NDIO UKO ENEO KUBWA??)

2. ULIKUWA UKITUMIA DAWA GANI ZA KUZUIA FANGASI (UKUNGU/BARIDI), NA ULIANZA KUZIPIGA LINI (MATIKITI YAKIWA KATIKA UMRI/STAGE GANI??) NA MARA YA MWISHO KUZITUMIA NI LINI MATIKITI YAKIWA NA UMRI AU STAGE GANI YA UKUAJI??

2. JE HIYO SHIDA IKO KWA MATIKITI MAKUBWA TU AU MADOGO AMBAYO YAMEKOMAA AU YOTEE MAKUBWA KWA MADOGO YAKO NA SHIDA HIYO??

3.HALI YA MAJI MAJI IKOJE SHAMBANI KWAKO?? MAJI YANATUAMA AU MUDA MWINGI ANGA LA ENEO LAKO LINAKUWA COVERED NA MAWINGU KWA SANA, AU MAENEO HAYO KUNA MVUA SANA??


="Emoj, post: 15195898, member: 330450"]ndio, ni kama hivyo ila sio vimetobolewa na wadudu, vinakuwa vidoti kama hivyo ila vya brown ambayo ukifanya kama kukanyaga hilo tikiti linatoa maji.
[/QUOTE]
udongo wa shambani kwangu ni ule mwekundu tifutifu,hautualmishi maji.
shida iko kwa matikiti makubwa na madogo japo sio yote ni baadhi,
kuhusu maji nategemea mvua na shamba halitwamishi maji,dawa ninayotumia kukinga ukungu ni Ebony
 
UKO SAWA MKUU,

KIGANJA KIMOJA KILICHONYOOKA CHA MKONO WAKO UKICHOTA MBOLEA NI GRAM 100 HADI 150, THEN UNAMIX KATIKA MAJI LITA 15 AU 20, MBOLEA KATIKA MAJI INALOA KABISA (DAKIKA 30 HADI LISAA 1 KABLA YA KUITUMIA) HAKIKISHA KUNA (COMPLETE MIXING-MBOLEA NA MAJI),
KISHA KILA SHIMO UTAKALO WEKA MCHE LIPATE MAJI HAYO YENYE MBOLEA , KILA SHIMO LIPATE SI CHINI YA MLS 250 ZA MAJI (HIYO TUNAIITA STARTER SOLUTION) BAADA YA KUWEKA HAYO MAJI NDIPO MCHE UJE UPANDWE, NA SI KINYUME CHAKE. LENGO HASA NI KUHAKIKISHA MCHE UTAKAPOANZA KUACRIMATIZE MAZINGIRA MIZIZI ITANYONYA MAJI YA KWANZA YENYE MBOLEA, NA HIVYO ILE SHOCK ITAPUNGUA.

JUHUDI NA MAARIFA SAHIHI= MAFANIKIO. KILA LAKHERI KIONGOZI NA TUKO PAMOJA.
Nashukuru mnooo
 
SAWA NA POLESANA

SASA TAFUTA DAWA YA UKUNGU INAITWA AGRIFOS 400,AU AU QUADRIS , UTAMIX NA DAWA YA WADUDU INAITWA BLAST/DUDUALL. USISAHAU KUTAFUTA NA AQUR STICKER-KINATISHA SUMU/DAWA MAANA HUU NI MSIMU WA MVUA. KWA MARA YA KWANZA UTAPIGA MCHANGANYIKO HUO KWA KILA BAADA YAN SIKU 7 FANYA NAMNA HIYO KWA MUDA WA WIKI MBILI MFULULIZO, BAADAE UTAKUWA UKIPIGA KILA BAADA YA SIKU 14.



udongo wa shambani kwangu ni ule mwekundu tifutifu,hautualmishi maji.
shida iko kwa matikiti makubwa na madogo japo sio yote ni baadhi,
kuhusu maji nategemea mvua na shamba halitwamishi maji,dawa ninayotumia kukinga ukungu ni Ebony
[/QUOTE]
asante mkuu
 
Mkuu nimeipata agrifos 400 na kesho naipiga kwenye matuta kwa hiyo nimesogeza transplanting mbele hadi jumapili. Napata faraja mbegu zinaendele vizuri na zimepata ridomil gold kwani kuna manyunyu manyunyu.
Naendelea kusoma notes hizi kwa ufahamu zaidi. Nimeona sehemu umesema ekari moja ukiwa umeihudumia vizuri yaweza kula krate za30/40kg 500-1500. Hivi ni kweli kuna mkulima ameshapata krate 1500 kwenye ekari moja kweli au ni nadharia?

Asante sana
 

Attachments

  • IMG-20160129-WA0015.jpg
    IMG-20160129-WA0015.jpg
    169.6 KB · Views: 72
  • IMG-20160129-WA0013.jpg
    IMG-20160129-WA0013.jpg
    178.1 KB · Views: 98
  • IMG-20160129-WA0014.jpg
    IMG-20160129-WA0014.jpg
    144.4 KB · Views: 61
Habari Ndugu kilimomaarifa,nashukuru sana kwa darasa lako sasa mm nina tatizo nimelima nyanya aina ya anaF1 kwenye green house sasa natapata tatizo la maua kudondoka,maua yanadondoka sana na unaanza pale kwenye kikonyo panakua pa njano alafu kinakatika na uwa kudondoka sasa sijui nn tatizo pia nyanya kuwa.na michirizi yani nikimaanisha tunda la nyanya kuwa na michirizi nini tatizo? Naomba msaada tafadhari niliongea na watu wa balton kwa.njia.ya simu sikuwaelewa vzr mm.napitakana morogoro asante sana
 
Mkuu Mchwa Naweza Wadhibiti Vp Shamban? Maana Nimekatua Nataka Kupanda Nyanya Wakati Naweka Mabelt Nigundua Pana Mchwa Sana Nifanyaje? Au Hawana Athari?
 
Pia Naomba Kuzifahamu Dawa Zingine Za Ukungu Ambazo Ninatibu Mbali Ya Zile Ulizozitaja Maana Zile Huku Hamna
 
UKIBAHATIKA KUPATA PDF YANGU YA NYANYA UTAONA HIZO KRETS 500-1500 ZINAPATIKANA KATIKA AINA GANI YA MBEGU, HIZO UNAZIPATA ,KIASI KWENYE SEMI DETERMINENT TYPE (MFANO, EDEN, SHANTY, ASSILA ETC)-ILA LAZIMA UPAMBANE SANA MKUU.ZADI KRETS KAMA HIZO 1000+ UNAWEZA ZIPATA KATIKA INDETERMINENT VARIETIES-TALL VARIETIES (MFANO, ANNA F1, COLAZON, EVA, GALLILEA,) HIZI TALL VARIETIES UKIZITUNZA VIZURI UNAVUNA MFULULIZO ZAIDI YA MIEZI 6. KUNA STATION MOJA IKO IRINGA WAMEPANDA EVA F1, WAMEANZA KUVUNA TANGU MWEZI WA 10 TAREHE 3 2015, MPAKA LEO BADO WANAVUNA NA TAYARI WAMESHAFIKISHA CRET 900 ZA KILO 30, KUNA MKULIMA MMOJA YUKO ILULA NA MWINGINE RUAHA WALIKUWA KWENYE MRADI FULANI WA KILIMO ULIKUWA CHINI YA USAID, WAKULIMA HAO WALIPANDA EDEN WALIWEZA FIKISHA KRETS ZA KILO 30 KRETS 1300 CHINI YA USIMAMIZI WA MABWANA SHAMBA WA HUO MRADI (HUO MRADI UMEKWISHA SASA). MAARIFA SAHIHI NA JUHUDI ZAKO=MAFANIKO YAKO
Okey mkuu.
Pdf ya nyanya imeshatoka? Hii ndio namna pekee ya kuchangia haya yote unayoyatoa kwa bure kabisa. Umenifungua akili mno katika kilimo hiki. Nakuwa mtaalamu sasa
Endelea na moyo huu wa msaada
 
Mkuu habari za siku, je udongo wa mfinyanzi unakupa best results kwenye kilimo cha nyanya au ni udongo gani ambao ni bora zaidi kwa nyanya?
 
Mkuu Samahani Natamani Nipande Nyanya Ndefu Kwenye Open Space Kama Je Inaweza Kufanya Vizuri Kama Zile Za Size Ya Kati? Au Kuna Madhara Au Faida Gani Kutumia Mbegu Ndefu Kama Anna Na Nyinginezo?
 
Mkuu Samahani Natamani Nipande Nyanya Ndefu Kwenye Open Space Kama Je Inaweza Kufanya Vizuri Kama Zile Za Size Ya Kati? Au Kuna Madhara Au Faida Gani Kutumia Mbegu Ndefu Kama Anna Na Nyinginezo?
 
Naomba gharama za Maandiko yako ya mboga mboga ili ninunue usiendelee kutoa bure elumu Bila kupata riziki yako kila siku.
 
HILI SWALI KAMA SIJAKOSEA NADHANI NILISHAMJIBU MKUU
NINA IMANI
KAMA UTAPANDA OPEN FIELD FIELD HIZI VARIETIES NDEFU KAMA ANNA F1. AU EVA ETC, ZITAZAA LAKINI CHANGAMOTO YAKE NI UWE NA MITI MIREFU SANA KWA AJILI YA STEKING MAANA ZINAREFUKA HADI MITA 6 NA ZAIDI, HIVYO UKISHINDWA KUZIFANYIA STEKING NDEFU NYINGI ZITAPUNGUZA UWEZO WA KUZAA, NA HIZO NGUZO ZIWE NDEFU NA ZIWE FREE FROM DISEASES OTHERWISE UTAKULA HASARA MAANA HIZO MBEGU NI GHARAMA SANA MKUU, MBEGU 5000 ZA ANNA F1 ZINA RANGE KATI YA 350,000-450,000, NA KWA EKA 1 UNAHITAJI MBEGU 9000, HADI 13000
MKUU SAMAHANI NILIPITIA UZI WAKO WOTE NA KU NOTE POINTS, LAKINI SIKUMBUKI KAMA KUNA SEHEMU NILISOMA KUHUSU VARIETY NDEFU NA FUPI, NAKUMBUKA KUHUSU HYBRID VARIETIES NA NON-HYBRID VARIETIES, JE HIZI HYBRID VARIETIES ZIMEGAWANYIKA KWENYE SIZE NDEFU NA SIZE YA KATI AU SIZE NDEFU NA SIZE YA KATI NDIO MAJINA MENGINE YA KUTOFAUTISHA KATI YA HYBRID NA NON-HYBRID?
 
Mkuu Samahani Naomba Unisaidie Mbegu Za Nyanya Za Hybrid Ambazo Zinastahimili Ukame(zisizohitaji) Maji Kwa Wingi Sana
 
Asante sana kwa Maelezo mazuri sasa icho kitabu cha pdf ntakipateje?
 
Back
Top Bottom