Tundapori
JF-Expert Member
- Aug 12, 2007
- 650
- 276
miembe ya kisasa nini?
Ndiyo mkuu ni miembe ya kisasa na vilevile asante kwa ushauri wako kamba niwe careful nisije iua hiyo miche.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
miembe ya kisasa nini?
Sio ya kisasa tu. Kama herbicides hazipo selective kwa zao lako na ukatumia non selective obvious it will kill each and everything. Kama ni selective kwa miembe [emoji106] [emoji106] [emoji106]. Otherwise nakushauri upalilie tu.miembe ya kisasa nini?
Sio ya kisasa tu. Kama herbicides hazipo selective kwa zao lako na ukatumia non selective obvious it will kill each and everything. Kama ni selective kwa miembe [emoji106] [emoji106] [emoji106]. Otherwise nakushauri upalilie tu.
1. Safisha (Clear eneo) unalohitaji kuweka kitalu,lisiwe sehemu ya mteremko, au sehemu inayotuamisha maji, isiwe chini ya mti wa mkaratusi (na jamii zake)
2. ondoa magugu yoyote, na uyachome moto, pia ondoa masalia ya mazao ya msimu uliopita yazike na ufukie shimo hilo au yachome moto (off season crops-mazao ya msimu uliopita/mabaki Ni chanzo cha magonjwa na wadudu)
3. Tengeneza matuta (juu yawe levo-tambalale), urefu kuja juu sm 20, na upana wa mita 2, urefu wa hilo tuta ni ule utakaoweza kuhimili/kumudu kuhudumia kitalu
4. Tumia leki kulevo hayo matuta
5. Tafuta nyasi kavu, au mabua ya mahindi weka juu ya matuta yatandaze kisha yachome moto (LOCAL SOIL STERILIZATION METHOD)-njia ya kuua vimela vya magonjwa na wadudu. Ukishindwa hiyo njia tumia njia ya kemikali nyunyiza dawa kama fungurani au Agrifos400 kuua vimelea vya magonjwa
6. Tumia ubao au fimbo kuchora vimifereji(Furrows) across urefu wa tuta kama tuta limekaa kaskazini kusini, basi mistari iwe mashariki to magharibi etc and vicervicersa. Umbali wa mfereji mmoja hadi mwingine uwe kati ya sm 5-10
7. Tumia dawa ya kupandia mbegu (DAWA inayazuia mbegu kuliwa na wadudu, na dumping off-KUKATIKA KIUONO KWA MICHE MICHANGA) mfano Apron Star ya Syngenta mix na mbegu zako, changanya na mchanga kidogo,kisha weka katika chupa ya plastic ya maji ya kunywa mfano ya lita moja/1/2 lita, mbele katika mfuniko wa chupa, toboa vitobo vidogo vidogo, kisha chukua hiyo chupa SASA TEMBEA TARATIBU UKIITIKISA hiyo chupa taratibu ukihakikisha zile mbegu zinamwagika kwa kiasi na kwa nafasi katika zile furrow (VIJIMIFEREJI ulivyochora). FANYA hivyo kwa matuta yote KISHA fukia na layer laini ya udongo.
8.Ukimaliza tafuta nyasi kavu (MULCH) MATANDAZWA, weka juu yake kisha mwagia maji mengi mpaka uone yanatokeza pembeni mwa tuta kiasi.
9. Endela kumwagia Matuta hayoo kila siku asubuhi na jioni kutegemeana na hali ya hewa, ndani ya siku 7 mbegu zako zitaota
10. Endelea na menejiment za kawaida, wadudu, magugu, magonjwa
11. Miche itakaa kitaluni siku 21 kisha utaipeleka shambani.
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Asante mkuu. Je Kwa nyanya na hoho kipo kiua gugu ambacho ni systemic?
Post mzee. When seedlings are ready in a plot
Is it selective? I where can I get it? AGIL® 100 EC should be applied after the crop has reached the 4- to 6-leaf stage.
Basi niweke sawa kwa ku list mfanoKWA KWELI KWA NYANYA NA HOHO SINA TAARIFA NA KIUA GUGU CHA SELECTIVE POST IMERGENCY,
ISIPOKUWA LABDA KWA KITUNGUU KIPO OXYFEN/SULFEN, NA SASA ADAMA (AGIL), KWA MAHINDI IPO PRIMAGRAM GOLD 660 SC HII ITUMIKE MAHINDI YAKIWA NA MAJANI MAWILI... KUWE NA UNYEVU WA KUTOSHA WAKATI UNAPOITUMIA, SELECTIVE POST EMERGENCY HERBICIDES NYINGINE JINA LIMENITOKA ILA IPO KWA MAZAO JAMII YA MAHARAGE NA KUNDE
Asante mkuuHIZI NDIO BAADHI YA DETAILS NILIZONAZO
1.KIUA GUGU-PRIMAGRAM GOLD 660 SC-ZAO MAHINDI, KIPIMO MLS 300 ZA DAWA KWA MAJI LITA 20
2. KIUA GUGU-OXYFEN/SULFEN-ZAO-KITUNGUU. KIPIMO, MLS 40 ZA DAWA KWA MAJI LITA 20 (ILA KATIKA KIBANDIKO WAMEANDIKA DAWA MLS 80 KWA MAJI LITA 20, ILA UKIFANYA KW AHICHO KIPIMO VITUNGUU VINAATHIRIKA
3. KIUA GUGU-ADAM (AGIL) MAZAO-KAROTI, KITUNGUU, VIAZI MVIRINGO ETC, KIPIMO CHA DAWA MLS 100 KWA MAJI LITA 20
Sukari F1 je?
Asante shule nzuri mkuuPersonally sina details zake kwa upande wa magonjwa......
Asante shule nzuri mkuu