Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

Kilimomaarifa samahani naomba ushauri. Nimepanda miche ya vitunguu ina siku kama 25 toka nimepanda kwenye kitalu ila naona imeanza kulala chini baadh baadhi samahan naomba ushauri wako
 
NIKUULIZE HIYO IVORY WALIYOKWAMBIA NI TSH 28000, NI IPI?? IVORY 72WP?? AU IVORY 80WP??? MAANA HIZO NI IVORY MBILI TOFAUTI.

UTOFAUTI WA BEI UNATOKANA NA VITU VINGI 1. UBORA WA KIAMBATA (SUMU) ILIYOPO NDANI YA DAWA HIYO INAUWEZO UPI ?? INAFANYA KAZI KWA MUDA GANI (LONGEVITY)?? INAWEZA KUTHIBITI TATIZO KWA UHARAKA KIASI GANI? DAWA HIYO IKO NA VIAMBATA VINGAPI?? MAANA HAIWEZEKANI DAWA YENYE KIAMBATA CHA MANCOZEB 64%+METALAXYN 8%, IKALINGANA NA ISIYO NA SUMU ZOTE MBILI. HIYO IVORY UNAYOITAJA ZIKO AINA MBILI, IPO IVORY 80WP AMBAYO IKO NA MANCOZEB PEKE YAKE, NA IPO IVORY 72WP AMBAYO IKO NA MANCOZEB + METALAXYN. SO BEI HAIWEZI KUWA MOJA. 2. SABABU NYINGINE YA UTOFAUTI WA BEI INATOKANA NA PROCESS NA AINA YA MALIGHAFI (GHARAMA) AMBAZO HAO WATENGENEZAJI WAMETUMIA. HATA GHARAMA YA NYANYA MBEGU KAMA ANNA F1 HAILINGANI NA GHARAMA YA NYANYA AINA YA MKULIMA,AU SHANTY, HATA BEI YA MBEGU YA KITUNGUU MFANO NEPTUNE HAIWEZI LINAGANA NA MBEGU KAMA RED CLEORE. KWA HIYO GHARAMA KUWA KUBWA INATEGEMEA NA VITU VINGI , INCLUDING TIME NA GHARAMA YA HAO WATU WALIYOTUMIA KUPATA HIYO MBEGU/DAWA

SWALI. ULIHITAJI DAWA HIZO ZA UKUNGU KUFANYIA NINI (KUKINGA?? AU KUTIBU UKUNGU??, NA UNAMIMEA GANI (NYANYA, VITUNGUU, MATIKITI... ETC), NA TAJA MBEGU SPECIFIC ULIYONAYO (EDEN, NEPTUNE, JULIANA ....ETC)????

QUOTE="NINA IMANI, post: 15259104, member: 196859"]naomba kuuliza,nimepita kwenye duka la dawa za kilimo kununua dawa ya ukungu, nimezoea kununug ridomil gold kg 1 kwa sh 44,000 elfu nikaambiwa ipo na ivory kg 1 inauzwa sh 28,000 je utofauti huu wa bei unatokana na ubora wa dawa au nini? asante.[/QUOTE]
 
Uliweka mbolea gani wakti unasia Mbegu hapo kitaluni?? Unamwagia mara ngapi hiyo miche kwa wiki?? imekauka hiyo miche? au imekatwa katika kiuno/shingo (karibu na ardhi) fanya scouting (Ukaguzi) wa wadudu katikati ya majani na nyuma ya majani kuona kama kuna shida ya wadudu, kama kuna wadudu tafuta dawa za wadudu. Kama kuna dalili za ukungu tafuta dawa za ukungu.

Kilimomaarifa samahani naomba ushauri. Nimepanda miche ya vitunguu ina siku kama 25 toka nimepanda kwenye kitalu ila naona imeanza kulala chini baadh baadhi samahan naomba ushauri wako
 
Tatemahunda

POLESANA ,

A. NAOMBA KUJUA MMEA HAUJANYAUKA/KULEGEA/KUKOSA NGUVU??

B. -LATEST (HIVI KARIBUNI KABISA) 1. ULIWEKA MBOLEA GANI?? 2. ULIPIGA DAWA GANI YA WADUDU?? AU YA UKUNGU 3. BOMBA LA KUSPRAY DAWA NI LAKO AU HUWA UNAAZIMA KWA JIRANI???- 4. HALI YA UNYEVU IKOJE ARDHINI?? NI KUKAME SANA AU MAJI YAMETUAMA MASHAMBANI??? KUWA MKWELI USIFICHE TAARIFA HIZO NILIZOKUULIZA , UKIJIBU SAWIA ZITANISAIDIA SANA KUJUA SHIDA NI NINI

KARIBU
dawa ya wadudu ninayotumia ni multimectin plus, ya ukungu ni ivory, bomba sio la kuazima, mmea wenye majani yaliyopiga njano haunyauki na hata hayo majani yenyewe yanaendelea kuishi kama kawaida, yanaanza kupiga njano majan ya kwenye ncha kuja kwenye shina, tatizo halijaanza kwangu tu, kuna, mashamba yapo km10 kutoka kwangu nayo yamekumbwa na tatizo kama hilo, mbolea ya mwisho kupiga ni npk, lakini kinachonihofisha ni kuona hata mashamba ya wengine tatizo lipo tena vinafanana kabisa.
 
1. HILO SHAMBA ULIWAHI LILIMA BEFORE NA UKAPATA SHIDA HIYO AU HII NDIO MARA YAKO YA KWANZA KULILIMA?
2. HIYO NPK ULIYOWEKA JUU KATIKA MFUKO ILIKUWA NA NAMBA ZIPI?? ie. 20:10:10, or 19:19:19.or 17:10:10 etc.....??

.... NAONA SHIDA ITAKUWA NI NITROGEN (N ) KATIKA UDONGO WA MASHAMBA YENU IKO CHINI KIDOGO, SASA FANYA HIVI, TAFUTA UREA, SIJAUA UNAMWGIA KWA DRIP AU FURROW (MIFEREJI) KAMA NI KWA FURROW BASI HIYO SIKU KABLA YA KUWEKA UREA MWAGIA KWANZA MAJI MENGI SANA SHAMBANI, THEN CHUKUA GIGANJA CHAKO KIMOJA CHA MKONO WA KULIA UWE UNACHOTA MBOLEA UWE UNAWEKA HIYO MBOLEA KATIKA MAJI LITA 15 THEN MIX HIYO MBOLEA NA MAJI MPAKA IJICHANGANYE KABISA, THEN VIBARUA WAWE WANACHOTA HAYO MAJI YENYE MBOLEA WANAMWAGIA KWENYE MASHINA YA MIMEA HIYO.UKIMALIZA TAFUTA BOOSTER INAITWA WAUXAL MACRO MIX AU SUPER GROW, SPRAY JUU YA HAYO MAJANI YA TIKITI. THEN OBSERVE KAMA KUNA CHANGES WITHIN 7 DAYS

KAMA UNAMWAGIA KWA DRIP, UTAWEKA UREA KILO 3 KATIKA MAJI LITA 5000, WEKA MBOLEA HIYO LISAA LIMOJA KABLA YA KUIRUHUSU ISHUKE KATIKA DRIP LINES.

CHUKUA SANA TAHADHARI YA KUAZIMISHA MABOMBA (KNAPSACK SPRAYER) YA KUPIGIA DAWA, KUNA WAKULIMA UNAWEZA MUAZIMISHA BOMBA AKAENDA KUWEKA ROUND UP YA KUKAUSHIA NYASI, THEN ANAKURUDISHI BILA KUSEMA EXACTLY ALICHOTUMIA, NAWE UNAWEKA DAWA ZA WADUDU NA KUPIGA, LAZIMA MIMEA IPATE MATATIZO.

KILA LAKHERI

dawa ya wadudu ninayotumia ni multimectin plus, ya ukungu ni ivory, bomba sio la kuazima, mmea wenye majani yaliyopiga njano haunyauki na hata hayo majani yenyewe yanaendelea kuishi kama kawaida, yanaanza kupiga njano majan ya kwenye ncha kuja kwenye shina, tatizo halijaanza kwangu tu, kuna, mashamba yapo km10 kutoka kwangu nayo yamekumbwa na tatizo kama hilo, mbolea ya mwisho kupiga ni npk, lakini kinachonihofisha ni kuona hata mashamba ya wengine tatizo lipo tena vinafanana kabisa.
 
ASANTE SANA KWA MAJIBU MAZURI, HIYO IVORY NI M 72 WP IMEANDIKWA METALAXYN 80 NA MANCOZEB 640, NILITAKA NITUMIE KWENYE NYANYA AINA YA EDEN. ASANTE
 
KAMA HUJAPATA SHIDA YA BLIGHT (BAKAJANI-WAHI/CHELEWA) AU KINYAUSHI (WILTING), RUKSA KUTUMIA HIYO IVORY 72 WP

ASANTE SANA KWA MAJIBU MAZURI, HIYO IVORY NI M 72 WP IMEANDIKWA METALAXYN 80 NA MANCOZEB 640, NILITAKA NITUMIE KWENYE NYANYA AINA YA EDEN. ASANTE
 
1. HILO SHAMBA ULIWAHI LILIMA BEFORE NA UKAPATA SHIDA HIYO AU HII NDIO MARA YAKO YA KWANZA KULILIMA?
2. HIYO NPK ULIYOWEKA JUU KATIKA MFUKO ILIKUWA NA NAMBA ZIPI?? ie. 201:10:10, or 19:19:19.or 17:10:10 etc.....??

.... NAONA SHIDA ITAKUWA NI NITROGEN (N ) KATIKA UDONGO WA MASHAMBA YENU IKO CHINI KIDOGO, SASA FANYA HIVI, TAFUTA UREA, SIJAUA UNAMWGIA KWA DRIP AU FURROW (MIFEREJI) KAMA NI KWA FURROW BASI HIYO SIKU KABLA YA KUWEKA UREA MWAGIA KWANZA MAJI MENGI SANA SHAMBANI, THEN CHUKUA GIGANJA CHAKO KIMOJA CHA MKONO WA KULIA UWE UNACHOTA MBOLEA UWE UNAWEKA HIYO MBOLEA KATIKA MAJI LITA 15 THEN MIX HIYO MBOLEA NA MAJI MPAKA IJICHANGANYE KABISA, THEN VIBARUA WAWE WANACHOTA HAYO MAJI YENYE MBOLEA WANAMWAGIA KWENYE MASHINA YA MIMEA HIYO.UKIMALIZA TAFUTA BOOSTER INAITWA WAUXAL MACRO MIX AU SUPER GROW, SPRAY JUU YA HAYO MAJANI YA TIKITI. THEN OBSERVE KAMA KUNA CHANGES WITHIN 7 DAYS

KAMA UNAMWAGIA KWA DRIP, UTAWEKA UREA KILO 3 KATIKA MAJI LITA 5000, WEKA MBOLEA HIYO LISAA LIMOJA KABLA YA KUIRUHUSU ISHUKE KATIKA DRIP LINES.

CHUKUA SANA TAHADHARI YA KUAZIMISHA MABOMBA (KNAPSACK SPRAYER) YA KUPIGIA DAWA, KUNA WAKULIMA UNAWEZA MUAZIMISHA BOMBA AKAENDA KUWEKA ROUND UP YA KUKAUSHIA NYASI, THEN ANAKURUDISHI BILA KUSEMA EXACTLY ALICHOTUMIA, NAWE UNAWEKA DAWA ZA WADUDU NA KUPIGA, LAZIMA MIMEA IPATE MATATIZO.

KILA LAKHERI
Ahsante mkuu, npk ninayotumia ni ile ya 20:10:10, hili shamba ni mwaka wa pili sasa nalima na sijawahi kukutana na tatizo hili, hii ni mara ya kwanza.
 
SHAMBA LIKO MKOA GANI MKUU??

HILO SHAMBA HALINA SHIDA YA MAGADI (YAANI UDONGO UNAKUWA NA RANGI NYEUSI NYEUSI HIVI KAMA MOLLASES ZILIZO GANDA GANDA??), AU KAMA NI CHUMVI SHAMBA (UDONGO) UNAKUWA MWEUPE MWEUPE HIVI

KWA SABABU KAMA ULIWEKA HIYO NPK SI MBAYA SANA MKUU.

EBU JARIBU KUFANYA KAMA NILIVYOKUSHAURI JUU YA UREA NA BOOSTER SIKU YA KUWEKA JARIBU KUWEPO KUSIMAMIA

Ahsante kwa elimu mkuu, nitafwata ushauri.
 
Siku ya 29 toka kupanda. Ya 7 toka kwenda shamba... Mpambano unaendelea. Jua linawaka kama limetumwa.. Nafurahi mvua imegoma..
 
Attachments

  • IMG-20160206-WA0010.jpg
    IMG-20160206-WA0010.jpg
    121.6 KB · Views: 120
  • IMG-20160206-WA0009.jpg
    IMG-20160206-WA0009.jpg
    103.2 KB · Views: 124
  • IMG-20160206-WA0005.jpg
    IMG-20160206-WA0005.jpg
    109.2 KB · Views: 133
Mkuu Habari,nimepuli Victory 72wp(mancozeb 64% Metalaxyl 8%) Kwa Lengo La Kuua Fangasi Cha Ajabu Miche Mingi Imelala Nikiinua Na Kuangalia Pale Chini Ni Kama Inataka Kukatika Na Hivyo Inashindwa Kusimama.Sasa Je Ni Kwamba Imeshaharibiwa Na Dawa? Maana Ni Karibu Nusu Ya Yote Iko Hivyo Ukiuangalia Vizur Umelika Pale Chini Hali Ya Kuwa Kabla Ya Dawa Sikuona Hivyo.
 
Sema na dozi uliyopiga

With a clean ♥
 
KIONGOZI POLE SANA

1. KWANZA INAONYESHA HUKUCHUKUA TAHADHARI WAKATI UNAANDA KITALU DHINDI YA FUNGUS (HAO NI FANGASI WALIOPO KATIKA UDONGO WANAOSABISHA MNYAUKO, FUSARIUM), NA HUWA WANAKULA UPANDE MMOJA WA MMEA NA CHINI KATIKA SHINA KARIBU NA UDONGO UNAKUTA KAMA KUNA VINUNDU VINUNDU HIVI NA KWA JUU KWAKWE KATIKA HILO SHINA UNAKUTA KUMELIWA (KUMERIKA) USIPOKUWA MAKINI UTADHANI NI MECHANICAL DAMAGE (MFANO UNAWEZA KUZANI NI JEMBE LIMEKWANGUA), NA SOON HIYO MIMEA ITAANZA KUKAUKA UPANDE MMOJA

2. KWA DAWA UNAYOTUMIA HATA UPIGE MLS 200 ZA DAWA KWA MAJI LITA 5 HUTAFANIKIWA, KWA SABABU KWA SASA HUHITAJI HICHO KIAMBATA CHA MANCOZEB TENA AMBACHO KATIKA HIYO DAWA TUNAWEZA SEMA NDIO ASILIMIA KUBWA 64%,

ELEWA KUWA TAYARI UMESHAVAMIWA, SO HUHITAJI KUJIKINGA TENA. UNAPASWA UPATE DAWA YENYE UWEZO WA KUTIBU HAO FANGASI, TAFUTA DAWA YENYE 1. METALAXYN KWA WINGI, KULIKO MANCOZEB, 2. DAWA YENYE KIAMBATA CHA CHOLOROTHANIL KWA WINGI, AU 3. DAWA YENYE KIAMBATA CHA POTASSIUM PHOSPHATEKWA WINGI, AU 4. DAWA YENYE AZOXTROBIN +CYPROCONAZOLE KWA WINGI, AU 5. YENYE FOSETIL-AL80% . SASA JARIBU KUTAFUTA MOJA WAPO YA DAWA ZIFUATAZO. , AU AGRIFOS 400, AU AGRIFOS 407, AU WILTIGO PLUS, AU QUADRIS=AMISTAR ZTRA=ORTIVA 25SC, AU NATIVO SC 300,

Nimepiga 25g kwenye lita 10 ya maji
 
Hawezi tumia Othello top?

With a clean ♥
 
Mkuu Hili Tatizo Limeonekana Baada Ya Kupuliza Ile Dawa Na Kuna Kitalu Sijapuliza Sijaona Hilo Tatizo Sasa Nitaka Kujua Kama Effect Ya Dawa Inaweza Fanya Miche Ilike?
 
Na wasi wasi na dozi yako kwa umri wa miche

With a clean ♥
 
Effect ya dawa inawezekana Mkuu, maana kama umeunderdose, means wale fungasi ni kama wameguswa hawakudhurika hivyo mashambulizi yanaongezeka, kama unatibu, basi tibu kweli siyo unagusa gusa na utibu kwa dozi sahihi na kwa kiambata sahihi. Hata katika hiyo ambayo hujapuliza nenda kaingalie vizuri utaoana hizo dalili nilizoeleza hao ni fungus wanaosababisha Wilting Mnyauko, AU HAKUNA HALI KAMA MMEA UMELIKA UPANDE MMOJA KWA HIYO MICHE??

Back
Top Bottom