Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilimomaarifa samahani naomba ushauri. Nimepanda miche ya vitunguu ina siku kama 25 toka nimepanda kwenye kitalu ila naona imeanza kulala chini baadh baadhi samahan naomba ushauri wako
dawa ya wadudu ninayotumia ni multimectin plus, ya ukungu ni ivory, bomba sio la kuazima, mmea wenye majani yaliyopiga njano haunyauki na hata hayo majani yenyewe yanaendelea kuishi kama kawaida, yanaanza kupiga njano majan ya kwenye ncha kuja kwenye shina, tatizo halijaanza kwangu tu, kuna, mashamba yapo km10 kutoka kwangu nayo yamekumbwa na tatizo kama hilo, mbolea ya mwisho kupiga ni npk, lakini kinachonihofisha ni kuona hata mashamba ya wengine tatizo lipo tena vinafanana kabisa.Tatemahunda
POLESANA ,
A. NAOMBA KUJUA MMEA HAUJANYAUKA/KULEGEA/KUKOSA NGUVU??
B. -LATEST (HIVI KARIBUNI KABISA) 1. ULIWEKA MBOLEA GANI?? 2. ULIPIGA DAWA GANI YA WADUDU?? AU YA UKUNGU 3. BOMBA LA KUSPRAY DAWA NI LAKO AU HUWA UNAAZIMA KWA JIRANI???- 4. HALI YA UNYEVU IKOJE ARDHINI?? NI KUKAME SANA AU MAJI YAMETUAMA MASHAMBANI??? KUWA MKWELI USIFICHE TAARIFA HIZO NILIZOKUULIZA , UKIJIBU SAWIA ZITANISAIDIA SANA KUJUA SHIDA NI NINI
KARIBU
dawa ya wadudu ninayotumia ni multimectin plus, ya ukungu ni ivory, bomba sio la kuazima, mmea wenye majani yaliyopiga njano haunyauki na hata hayo majani yenyewe yanaendelea kuishi kama kawaida, yanaanza kupiga njano majan ya kwenye ncha kuja kwenye shina, tatizo halijaanza kwangu tu, kuna, mashamba yapo km10 kutoka kwangu nayo yamekumbwa na tatizo kama hilo, mbolea ya mwisho kupiga ni npk, lakini kinachonihofisha ni kuona hata mashamba ya wengine tatizo lipo tena vinafanana kabisa.Tatemahunda
POLESANA ,
A. NAOMBA KUJUA MMEA HAUJANYAUKA/KULEGEA/KUKOSA NGUVU??
B. -LATEST (HIVI KARIBUNI KABISA) 1. ULIWEKA MBOLEA GANI?? 2. ULIPIGA DAWA GANI YA WADUDU?? AU YA UKUNGU 3. BOMBA LA KUSPRAY DAWA NI LAKO AU HUWA UNAAZIMA KWA JIRANI???- 4. HALI YA UNYEVU IKOJE ARDHINI?? NI KUKAME SANA AU MAJI YAMETUAMA MASHAMBANI??? KUWA MKWELI USIFICHE TAARIFA HIZO NILIZOKUULIZA , UKIJIBU SAWIA ZITANISAIDIA SANA KUJUA SHIDA NI NINI
KARIBU
dawa ya wadudu ninayotumia ni multimectin plus, ya ukungu ni ivory, bomba sio la kuazima, mmea wenye majani yaliyopiga njano haunyauki na hata hayo majani yenyewe yanaendelea kuishi kama kawaida, yanaanza kupiga njano majan ya kwenye ncha kuja kwenye shina, tatizo halijaanza kwangu tu, kuna, mashamba yapo km10 kutoka kwangu nayo yamekumbwa na tatizo kama hilo, mbolea ya mwisho kupiga ni npk, lakini kinachonihofisha ni kuona hata mashamba ya wengine tatizo lipo tena vinafanana kabisa.
ASANTE SANA KWA MAJIBU MAZURI, HIYO IVORY NI M 72 WP IMEANDIKWA METALAXYN 80 NA MANCOZEB 640, NILITAKA NITUMIE KWENYE NYANYA AINA YA EDEN. ASANTE
Ahsante mkuu, npk ninayotumia ni ile ya 20:10:10, hili shamba ni mwaka wa pili sasa nalima na sijawahi kukutana na tatizo hili, hii ni mara ya kwanza.1. HILO SHAMBA ULIWAHI LILIMA BEFORE NA UKAPATA SHIDA HIYO AU HII NDIO MARA YAKO YA KWANZA KULILIMA?
2. HIYO NPK ULIYOWEKA JUU KATIKA MFUKO ILIKUWA NA NAMBA ZIPI?? ie. 201:10:10, or 19:19:19.or 17:10:10 etc.....??
.... NAONA SHIDA ITAKUWA NI NITROGEN (N ) KATIKA UDONGO WA MASHAMBA YENU IKO CHINI KIDOGO, SASA FANYA HIVI, TAFUTA UREA, SIJAUA UNAMWGIA KWA DRIP AU FURROW (MIFEREJI) KAMA NI KWA FURROW BASI HIYO SIKU KABLA YA KUWEKA UREA MWAGIA KWANZA MAJI MENGI SANA SHAMBANI, THEN CHUKUA GIGANJA CHAKO KIMOJA CHA MKONO WA KULIA UWE UNACHOTA MBOLEA UWE UNAWEKA HIYO MBOLEA KATIKA MAJI LITA 15 THEN MIX HIYO MBOLEA NA MAJI MPAKA IJICHANGANYE KABISA, THEN VIBARUA WAWE WANACHOTA HAYO MAJI YENYE MBOLEA WANAMWAGIA KWENYE MASHINA YA MIMEA HIYO.UKIMALIZA TAFUTA BOOSTER INAITWA WAUXAL MACRO MIX AU SUPER GROW, SPRAY JUU YA HAYO MAJANI YA TIKITI. THEN OBSERVE KAMA KUNA CHANGES WITHIN 7 DAYS
KAMA UNAMWAGIA KWA DRIP, UTAWEKA UREA KILO 3 KATIKA MAJI LITA 5000, WEKA MBOLEA HIYO LISAA LIMOJA KABLA YA KUIRUHUSU ISHUKE KATIKA DRIP LINES.
CHUKUA SANA TAHADHARI YA KUAZIMISHA MABOMBA (KNAPSACK SPRAYER) YA KUPIGIA DAWA, KUNA WAKULIMA UNAWEZA MUAZIMISHA BOMBA AKAENDA KUWEKA ROUND UP YA KUKAUSHIA NYASI, THEN ANAKURUDISHI BILA KUSEMA EXACTLY ALICHOTUMIA, NAWE UNAWEKA DAWA ZA WADUDU NA KUPIGA, LAZIMA MIMEA IPATE MATATIZO.
KILA LAKHERI
Ahsante mkuu, npk ninayotumia ni ile ya 20:10:10, hili shamba ni mwaka wa pili sasa nalima na sijawahi kukutana na tatizo hili, hii ni mara ya kwanza.
Ahsante kwa elimu mkuu, nitafwata ushauri.SHAMBA LIKO MKOA GANI MKUU??
HILO SHAMBA HALINA SHIDA YA MAGADI (YAANI UDONGO UNAKUWA NA RANGI NYEUSI NYEUSI HIVI KAMA MOLLASES ZILIZO GANDA GANDA??), AU KAMA NI CHUMVI SHAMBA (UDONGO) UNAKUWA MWEUPE MWEUPE HIVI
KWA SABABU KAMA ULIWEKA HIYO NPK SI MBAYA SANA MKUU.
EBU JARIBU KUFANYA KAMA NILIVYOKUSHAURI JUU YA UREA NA BOOSTER SIKU YA KUWEKA JARIBU KUWEPO KUSIMAMIA
Sema na dozi uliyopigaMkuu Habari,nimepuli Victory 72wp(mancozeb 64% Metalaxyl 8%) Kwa Lengo La Kuua Fangasi Cha Ajabu Miche Mingi Imelala Nikiinua Na Kuangalia Pale Chini Ni Kama Inataka Kukatika Na Hivyo Inashindwa Kusimama.Sasa Je Ni Kwamba Imeshaharibiwa Na Dawa? Maana Ni Karibu Nusu Ya Yote Iko Hivyo Ukiuangalia Vizur Umelika Pale Chini Hali Ya Kuwa Kabla Ya Dawa Sikuona Hivyo.
Nimepiga 25g kwenye lita 10 ya maji
Hawezi tumia Othello top?KIONGOZI POLE SANA
1. KWANZA INAONYESHA HUKUCHUKUA TAHADHARI WAKATI UNAANDA KITALU DHINDI YA FUNGUS (HAO NI FANGASI WALIOPO KATIKA UDONGO WANAOSABISHA MNYAUKO, FUSARIUM), NA HUWA WANAKULA UPANDE MMOJA WA MMEA NA CHINI KATIKA SHINA KARIBU NA UDONGO UNAKUTA KAMA KUNA VINUNDU VINUNDU HIVI NA KWA JUU KWAKWE KATIKA HILO SHINA UNAKUTA KUMELIWA (KUMERIKA) USIPOKUWA MAKINI UTADHANI NI MECHANICAL DAMAGE (MFANO UNAWEZA KUZANI NI JEMBE LIMEKWANGUA), NA SOON HIYO MIMEA ITAANZA KUKAUKA UPANDE MMOJA
2. KWA DAWA UNAYOTUMIA HATA UPIGE MLS 200 ZA DAWA KWA MAJI LITA 5 HUTAFANIKIWA, KWA SABABU KWA SASA HUHITAJI HICHO KIAMBATA CHA MANCOZEB TENA AMBACHO KATIKA HIYO DAWA TUNAWEZA SEMA NDIO ASILIMIA KUBWA 64%,
ELEWA KUWA TAYARI UMESHAVAMIWA, SO HUHITAJI KUJIKINGA TENA. UNAPASWA UPATE DAWA YENYE UWEZO WA KUTIBU HAO FANGASI, TAFUTA DAWA YENYE 1. METALAXYN KWA WINGI, KULIKO MANCOZEB, 2. DAWA YENYE KIAMBATA CHA CHOLOROTHANIL KWA WINGI, AU 3. DAWA YENYE KIAMBATA CHA POTASSIUM PHOSPHATEKWA WINGI, AU 4. DAWA YENYE AZOXTROBIN +CYPROCONAZOLE KWA WINGI, AU 5. YENYE FOSETIL-AL80% . SASA JARIBU KUTAFUTA MOJA WAPO YA DAWA ZIFUATAZO. , AU AGRIFOS 400, AU AGRIFOS 407, AU WILTIGO PLUS, AU QUADRIS=AMISTAR ZTRA=ORTIVA 25SC, AU NATIVO SC 300,
Na wasi wasi na dozi yako kwa umri wa micheMkuu Hili Tatizo Limeonekana Baada Ya Kupuliza Ile Dawa Na Kuna Kitalu Sijapuliza Sijaona Hilo Tatizo Sasa Nitaka Kujua Kama Effect Ya Dawa Inaweza Fanya Miche Ilike?
Mkuu Hili Tatizo Limeonekana Baada Ya Kupuliza Ile Dawa Na Kuna Kitalu Sijapuliza Sijaona Hilo Tatizo Sasa Nitaka Kujua Kama Effect Ya Dawa Inaweza Fanya Miche Ilike?