Je, unataka kuolewa na mume Mwafrika asiye Mtanzania? Wajue wanaume wa Kiafrika na sifa zao

Je, unataka kuolewa na mume Mwafrika asiye Mtanzania? Wajue wanaume wa Kiafrika na sifa zao

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
WANAUME WA AFRIKA.!

1. Wanaume wakatili zaidi Afrika
- Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha".

2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - WaSenegal.

3. Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao - Wakenya (Kati ya wanaume 10 nchini Kenya 7 wanapokea kipigo kutoka kwa wake zao. Chama cha kutetea haki za wanaume hadi sasa kina wanachama laki 8).

4. Wanaume wanaosali zaidi Afrika - Wasomali (kati ya wanaume 10 wa kisomali, 8 huswali swala 5 kila siku. Hata katikati ya vita huwaachi kuswali).

5. Wanaume matapeli zaidi Afrika - Wanigeria (kati ya wanaume 10 wa Nigeria, 6 ni matapeli wa kutupwa. Hata kama ni Askofu ukijilengesha anakutapeli tu).

6. Wanaume wanaopenda dezo na kulelewa zaidi Afrika - Wakongo (hawa wakioa mwanamke mwenye pesa huhamia kwa mke. Wanaitwa "Mario").

7. Wanaume wasomi zaidi Afrika -Washelisheli (Sychelles). Kila wanaume 100, 40 wana degree. Tanzania kila wanaume 100 watatu wana degree.

8. Wanaume washamba zaidi Afrika - WaEritrea (ukienda kanisani/msikitini na gari jipya wanaahirisha kusali washangae gari kwanza).

9. Wanaume wachawi na Washirikina zaidi Afrika - Wagambia (Rais wao Yahya Jammeh hutumia waganga na wapiga ramli kama sehemu ya walinzi wake).
 
Hapo kwa Kenya umezingua sana mkuu, unawezaje kutuvunjia heshima namna hii.

Hii habari yako Haina mashiko hata kdgo mkuu, kama Kuna nchi Duniani yenye wanaume wababe basi ni nchi yangu Kenya. Huku sisi huwa hatuendekezi ujinga wa wanawake.

Please withdraw Kenya from your thread.
 
Hapo kwa Kenya umezingua Sana mkuu,unawezaje kutuvunjia heshima namna hii.
Hii habari yako Haina mashiko hata kdgo mkuu,Kama Kuna nchi Duniani yenye wanaume wababe Basi Ni nchi yangu Kenya.Huku sisi huwa hatuendekezi ujinga wa wanawake.

Please withdraw Kenya from your thread.
Sasa unabisha? Nyie mnabondwa na wake zenu hadi sasa mnaogopa kuwaoa mnakuja kuoa Bongo
 
Wa Kenya ni kweli wamepumbaa kinoma sio wajanja wanapigwa daily na wake zao kwanza wengi wazee. Hata kipind cha juu wanavaa Makoti makubwa hata kama sio bodaboda sijui hwaoni joto?
 
I would like to Know the sample size you've used to arrive at your conclusion.This is a petty lie and no Kenyan can give a damn to it.

Normalize to carry a well-endowed research before arriving at conclusions.
Sasa unabisha? Nyie mnabondwa na wake zenu hadi sasa mnaogopa kuwaoa mnakuja kuoa Bongo
 
Wa Kenya ni kweli wamepumbaa kinoma sio wajanja wanapigwa daily na wake zao kwanza wengi wazee .Hata kipind cha juu wanavaa Makoti makubwa hata kama sio bodaboda sijui hwaoni joto??
You're a lier by profession.
 
Hapo kwa Kenya umezingua Sana mkuu,unawezaje kutuvunjia heshima namna hii.
Hii habari yako Haina mashiko hata kdgo mkuu,Kama Kuna nchi Duniani yenye wanaume wababe Basi Ni nchi yangu Kenya.Huku sisi huwa hatuendekezi ujinga wa wanawake.

Please withdraw Kenya from your thread.
Mkuu kwa swala hili nyie ni maboya na mnapigwa na wanawake.Mnajitia wajuaji lakini hamna hata uwezo wa kuhandle wanawake zenu.Shame
 
Kwa wasegali ni kweli kabisa. Kamwe hawatelekezi familia zao. Warundi nao ni makatili sana tena hasa wahutu. Ila dawa yao nawe mke kuwa ngangali tu.
 
Hapo kwa Kenya umezingua Sana mkuu,unawezaje kutuvunjia heshima namna hii.
Hii habari yako Haina mashiko hata kdgo mkuu,Kama Kuna nchi Duniani yenye wanaume wababe Basi Ni nchi yangu Kenya.Huku sisi huwa hatuendekezi ujinga wa wanawake.

Please withdraw Kenya from your thread.
🤣🤣🤣
 
Tafsiri kwa kiswahili

Waangola na warundi wako pale Tarime
Wasenegali wapo upareni
Wakongo ndio hawa kule pwani
Wakenya ndio wapo tukuyu na kyela
Wasomali ndio wako pemba
Wanaijeria wako pale ungalimited na temeke
WaElitrea wapo huko geita na mwanza
Wagambia wako tanga na sumbawanga
Washelisheli wapo pale bukoba na moshi
 
Hapo kwa Kenya umezingua Sana mkuu,unawezaje kutuvunjia heshima namna hii.
Hii habari yako Haina mashiko hata kdgo mkuu,Kama Kuna nchi Duniani yenye wanaume wababe Basi Ni nchi yangu Kenya.Huku sisi huwa hatuendekezi ujinga wa wanawake.

Please withdraw Kenya from your thread.
One of the few footages 🤣 🤣🤣
 
Attachments

  • Lipa nyumba na ununue chakula – Video of a woman beating her husband like a burukenge in the p...mp4
    3.3 MB
Back
Top Bottom