Je, unatumia Chopping Board kwa kukatia vitunguu na nyanya?

Je, unatumia Chopping Board kwa kukatia vitunguu na nyanya?

Wanawake wengi wa sasa ni wavivu sana.
Hadi mboga ndizi wasaidiwe gengeni?
Mama zetu walikata kila kitu kwa mikono na hawana alama za kujikata. Hamjaenda unyago?
 
Wanawake wengi wa sasa ni wavivu sana.
Hadi mboga ndizi wasaidiwe gengeni?
Mama zetu walikata kila kitu kwa mikono na hawana alama za kujikata. Hamjaenda unyago?

Mwenzetu jando umeenda au ulienda la Dr Jumaa?
 
Wanawake wengi wa sasa ni wavivu sana.
Hadi mboga ndizi wasaidiwe gengeni?
Mama zetu walikata kila kitu kwa mikono na hawana alama za kujikata. Hamjaenda unyago?
Na walitumia muda mwingi jikoni mwisho wakawa wa jikoni, Sasa hivi ni mwendo wa chopper zinakata haraka na muda wa kukaa jikoni unakuwa mfupi.
 
Chopping board Sasa hivi tunakatia nyama peke yake, viungo Kuna vegetable chopper za umeme na manual.
 
Back
Top Bottom