Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh kwa huo ukataji wa nyanya na hzo hoho mkuu nadhani bado unajifunza kupikaHabari menu,
Mimi nimezoea Sana Kutumia chopping board jikoni kiasi kwamba nikitumia mikono najikata Sana na kisu vidole.
Lazima nitumie chopping board kukata nyama, mboga zamajiani...vitunguu yaani almost kila kitu.
Chopping board yangu ni kuuu kuu Sana na more than ten years
Anyone else uses a chopping board like me, just wondering
Tecno yangu haitoi quality picha
ASANTENI KWA MAONI
Nikweli chopping board yangu...imechoka... nashukuru kwa maoni yenu...ILA SINUNUI mpyaaa..hata kidogo..Hadi ikatike vipande vipande ndo ntaacha kuitumiaaa...
Kama Kuna mtu anazo mbili...anitumie moja ....
Nawaombea nanyie mnunue zenu Asante
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Nawala Hiyo picha siifuti.... endelea tu kucomment ndo Raha yanguHio chopping board inaonekana kama imeanza kuota moss na fungus, yaani kama ukiicha wiki mbili bila kuitumia unakuta uyoga umeota hapo.
Aisee... Cutting board yangu..sijawai iangalia kwa Masikitiko nlikua naipenda Sana....Cutting board ni muhimu ,siwezi kata chochote kawaida na huwa napenda itumia sana maana kitunguu nikishakigawa nusu nikikilaza kwenye cutting board in 30 sec nishakata kitunguu chote,inanisaidia siliii liiii tofaut na nikitumia mkono kukata kitunguu yani machozi na makamasi yatayonitoka sio ya nchi hiii.
Huwa napenda vitu vya zamani kupikia,kuanzia sufuria/mwiko kasoro sahani tu ndio napenda kulia kwenye sahani mpya na nzuri ila huko jikoni vitu vipya naonaga vinanipotezea muda.
hatujatofautiana sana kwenye hilo,wewe una cutting board imekula age,mimi nina kisu changu hichooo Nakiitaga WEMBE,nina mwiko wangu huo kwa kule mbele una sura nyeusiiiiii yani ndio nikiushika na feel napika kitu vizuri na kitamu.
Natania sema..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...NAJUTA Mimi najuta...maprosooo
Naona wadau wamekukaliaa koon...wazoee tu ..wala hawako serious..n they know it.Mkuuu...umefikaje huku.... matatoo hajambo?...
Ndo kujifunza kwenyewe....cha Kukusaidia kibebe vingine potezeaNilisikia kwenye radio mtangazaji alisema... Ukiweka kitu kwenye mtandao unaweza kiona kidogo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]...Kumbe waja wa MUngu wanakikuuuza...
Nilijua ntapata Kama comment kumi Hivi.. loooh...Sio kwa kichambo hiki.