Je, unatumia Chopping Board kwa kukatia vitunguu na nyanya?

Kabisa ,mtoa mada hajui kupika kabisa,nyanya inatakiwa isagwe au atumie kile kitude cha kusugua nyanya inakuwa mchuzi kabisa na si mapande mapande,hakuna vitunguu saumu wala tangawizi.

Sio sahihi, kwanza ukisaga nyanya unaifanya kuwa pulpy hivyo unaua fibers ambazo ni nzuri sana kufanya mchuzi kuwa mzito.

Pili mapishi hayalingani, huwezi kusaga nyanya halafu ukaweka kwenye kachumbari.

Kusema mtu hajui kupika kwa sababu hajaweka viungo ambavyo unataka wewe pia sio sahihi. Kila mtu ana perception yake kwenye chakula, kuna wengine hawapendi swaumu wala tangawizi.
 
Owky...send me pic kwa DM...maybe it will motivate me to buy Kama yako ...
Ni hizo za mbao tu wamezimodify, sema u pro wako kwenye chopping ndio utafanya spices zako zitokee vizuri. Other wise utumie chopping machine
 
Nimempa mfano wa chopping styles tu. Hapa nilipo kwa sasa labda nichop makaratasi
Mydear Depal.... Ntazingatia chopping style...Kabla sijapost picha Tena Humu...

But kwenye upishi Wangu wakawaida nyumbani.... Ntachop to Kama navyochop
 
Sio sahihi, kwanza ukisaga nyanya unaifanya kuwa pulpy hivyo unaua fibers ambazo ni nzuri sana kufanya mchuzi kuwa mzito.

Pili mapishi hayalingani, huwezi kusaga nyanya halafu ukaweka kwenye kachumbari.

Kusema mtu hajui kupika kwa sababu hajaweka viungo ambavyo unataka wewe pia sio sahihi. Kila mtu ana perception yake kwenye chakula, kuna wengine hawapendi swaumu wala tangawizi.
Asante Mkuuu...Nimejua kwanini hua nikisanga nyanya kwenye blender.... Mchuzi hauwi mzito Sana...

Asante chef...
 
Ni hizo za mbao tu wamezimodify, sema u pro wako kwenye chopping ndio utafanya spices zako zitokee vizuri. Other wise utumie chopping machine
I used to watch a chef anaiwa Jamie kule food Network...he chops however he wants... Sometimes he chops like a pro..sijui Julian style na kudice vitunguu....

Sometimes he just roughly chops his vegies and the food always look super....

Kwakweli at home...Mara nyingi napika Ina a hurry Sasa ..kuanza kuchop with the best knife skills kwakweli itakuwa ngumu...

Kunamuda hata vitunguu swami simenyo natwanga Hivyo Hivyo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Huo ni msemo tu kama nyota njema huonekana asubuhi...kwahiyo chakula kikiwa cha mtu m1 unapika bokoboko?
Mkuuu.....Wewe unashida yako maalumu...hapo Kuna chakula kimepikwa au Kuna chopping board,vitunguu na hizo nyanya na carrots..

Kama. Kukatakata Hivyo hufanya chakula kuwa kibaya.....Basi na usile.
 
Sio sahihi, kwanza ukisaga nyanya unaifanya kuwa pulpy hivyo unaua fibers ambazo ni nzuri sana kufanya mchuzi kuwa mzito.

Pili mapishi hayalingani, huwezi kusaga nyanya halafu ukaweka kwenye kachumbari.

Kusema mtu hajui kupika kwa sababu hajaweka viungo ambavyo unataka wewe pia sio sahihi. Kila mtu ana perception yake kwenye chakula, kuna wengine hawapendi swaumu wala tangawizi.
Hata mimi kusaga nyanya hua sipendi. Na huwa simenyi pia.
 
Sawa mkuu kweli mapishi yanatofautiana.
MBOGA.jpg

MBOGA2.jpg
 
Mkuuu.....Wewe unashida yako maalumu...hapo Kuna chakula kimepikwa au Kuna chopping board,vitunguu na hizo nyanya na carrots..

Kama. Kukatakata Hivyo hufanya chakula kuwa kibaya.....Basi na usile.

Sawa Quetzal nimekupata.
 
He he he he heeeeeeeeeeee
sa kaipata wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya urithi wa ma great great grannies
[emoji3][emoji3][emoji3]... Ancestors Mkuuu great great great grand mother...Kabla hajafa aliacha wosia kuwa hicho kibao kitumike na kirithishwe ...kwa vizazi na vizazi......

Nadhani ndo kilipotokea
 
Sawa mkuu kweli mapishi yanatofautiana.
View attachment 1717912

View attachment 1717913
Mkuuu...umeshinda kwa sababu umekua na lengo la kushindana....

Mimi sikuweka Wala sikupiga Hiyo picha kwa lengo la.kushinda...ila Kama unataka nishindane naweza Sana kukatakata vizuri..nitakafuta Sahani nikaweka..nikaenda kwenye juaa kupata picha clear nikapiga nikapost....

So Kama Nia yako Ni kuonesha sijui....UMEFANIKIWA
 
Najua ni mazoea uliyojijengea.[emoji3][emoji3577] Ni kitu kidogo na rahisi mtu kutozingatia.
Nilisahau kuwa.mazingira ya mtandaoni Ni perfect.... Mimi nikapiga TU picha Kama natuma kwa mdogo Wangu...ambae kazoea mazingia....

Ndo maana wanaume huwa wanalalamika wadada hawafanani na wanavyokutana nao...Sasa Kama nikipiga picha....nyuma ya chopping board yangu nikapost....So itakuwa balaaa[emoji3]
 
🤣 Embu piga nitumie PM
 
Hata mimi kusaga nyanya hua sipendi. Na huwa simenyi pia.

Hata mimi siku hizi simenyi nyanya na nimegundua taste imekuwa improved yale maganda ya nyanya yana taste yake amazing. Halafu unakuwa na takataka chache.
 
Back
Top Bottom