Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,343
- 10,799
- Thread starter
- #21
Gheto sinaga chopping board, ila natumiaga kibao cha kusukumia chapati [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Vitunguu lazima nikate in round shape. Hoho lazima nikate vyembamba sana alafu ndogo ndogo.
Ila Quetzal baby, hivyo vitunguu vyako mbona umevikata kitemi sana? [emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..... Sikataki kitunguu round shape hata siku Moja...kwasababu kitunguu hua nakikata nusu natumia Mara mbili...
Anyway kuhusu kibao Cha chapati hiyo ndo chopping board yenyewe...
Sipendi kukata kata vidogo dogo...Sana..