Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu...kuchange ID hakubadilishi majibu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].....Niliogopa, ujue we kabla huja'change ID kuna muda ulikuwa una majibu yako unayajua mwenyewe. Sikutaka iwe ligi maana sikujua ni kwa namna gani ungepokea ndio maana nikamute...
Vitunguu kata round bwana, vitunguu vya round vinavutia. Ningekuonesha ila leo sina mpango wa kupika kabisa
Kuhusu CB mpendwa nunua tu nyingine, najua huwezi kosa 7500. Hela zimeota mbawa siku hizi lakini jitahidi tu....
Kuhusu picha wala haina shida, ila spices zako umechop kama bachelor wa kiume asiyejali katika suala la kula vitu vizuri.
Sema baada ya kutumia na kusafisha mahali utakapo hifadhi sasa...inaweza kukutisha hata ww...Wallahi sinunui...yaaani ukweli kabisa....
Kwani hiyo.inatoa sumu..
Nilisikia kwenye radio mtangazaji alisema... Ukiweka kitu kwenye mtandao unaweza kiona kidogo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]...Kumbe waja wa MUngu wanakikuuuza...Nimesoma mwanzo mwisho...nikarudi tena kucheki picha.... Kwaaani wadau wakosoaji karrot na hoho zinatakiwa kukatwaje? Na vitunguu vya round ndo vinaongeza ladha au vinafanyanye chakula?
Mm huwa nakata karrot,hoho na vitunguu kwa staili ya mtoa mada..wingi au uchache kutegemea na mapishi ya siku.
Nyanya huwa nakwangua.
Mpangilio wangu natumia sahani pana napanga viungo vyangu kimafungu....sipendi kuwa na vyombo vichafu mana mara nyingi napika mida mibovu...baada ya kutoka kazini
Ubao situmii labda mara chache sana kama nakata nyama.....
Wewe ni chef wa hotel ipi mkuu? Au unafundisha kilimanjaro institute of technology nini?Kabisa ,mtoa mada hajui kupika kabisa,nyanya inatakiwa isagwe au atumie kile kitude cha kusugua nyanya inakuwa mchuzi kabisa na si mapande mapande,hakuna vitunguu saumu wala tangawizi.
Kwani hii ulinunua?Nikweli chopping baord yangu imechoka......lakini swala lakunua nyingine HALIPO kabisa.. View attachment 1717898
Haiongezi chochote ila ndio the best.Nimesoma mwanzo mwisho...nikarudi tena kucheki picha.... Kwaaani wadau wakosoaji karrot na hoho zinatakiwa kukatwaje? Na vitunguu vya round ndo vinaongeza ladha au vinafanyanye chakula?
Mm huwa nakata karrot,hoho na vitunguu kwa staili ya mtoa mada..wingi au uchache kutegemea na mapishi ya siku.
Nyanya huwa nakwangua.
Mpangilio wangu natumia sahani pana napanga viungo vyangu kimafungu....sipendi kuwa na vyombo vichafu mana mara nyingi napika mida mibovu...baada ya kutoka kazini
Ubao situmii labda mara chache sana kama nakata nyama.....
Huyo Nia yake ilikua nikuonesha ...anavyochop ..kazingatia hata mwaga Kabla ya kupiga picha.... Mimi heading yangu ilikua Ni chopping board...nadhani nisingeonesha hayo mavitunguuuHaiongezi chochote ila ndio the best.
Mtoa mada nahisi alitaka kuchop namna hii [emoji116] ila hajawa pro. Sema hii ina kimachine chake, unaingiza kitunguu unabana inatoka hivyo. Inapendezea sana kwenye salad.
View attachment 1717899
Pia kuna chopping za round/ slices zinapendezea kwenye kitunguu na hoho tu. View attachment 1717901kila mtu na vile amezoea lkn.