Je, unatumia Chopping Board kwa kukatia vitunguu na nyanya?

Je, unatumia Chopping Board kwa kukatia vitunguu na nyanya?

Tupo sawa me nikiwa maskani ..huwa napenda kujipikia mwenyewe Kama wife hayupo ....Wala binti wa kazi ..me na Jembe langu hao jikoni ..kibao Cha chapati Kiko wapi Ni mwendo wa kukata Tuu.

Anyway mtoa mada kanikumbusha wacha ninunue leo.
Fasta tu mazaga yanakuwa tayari, then natoa kitu siku inaisha.
 
Nimeshindwa Mkuuu....Naona itabaki tu
Pole sana. Ila nakushauri, osha vizuri chopping board yako au nunua mpya ile nyeupe ya mfupa nadhani set yake haifiki 30k. Inakuwa na boards za size mbalimbali.
 
I'm a fan of chopping,Ila napenda kutumia board ya mbao Kuna hizi za plastic Zina mwonekano mzuri Ila kuitumia si nzuri kiafya sababu vipande vidogo vya plastic(microplastics) ambavyo unapokata vinaambatana na chakula.
 
Pole sana. Ila nakushauri, osha vizuri chopping board yako au nunua mpya ile nyeupe ya mfupa nadhani set yake haifiki 30k. Inakuwa na boards za size mbalimbali.
Nshasema SINA HELA..... Wala Sina MPANGO wakununua mpya...Kama hi Inafanya kazi mpya ya Nini
 
Nilitaka kumwambia atoe picha kabla smart people wa JF hawajaamka wakazoom mpaka ile sufuria kule pembeni uelekeo wa pilipili nikaona soo.
Bora ungeniambia hata PM[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]...maana nimekoma...hapo Ni jikoni...sufuria na hicho kinu nlichokua natwangia kitunguu swaumu Ni mahali pake...

Sio kwamba sufuria lipo juu ya Kochi au kinu kipo juu ta fridge.....

Sikua nafanya photoshoot yakutafuta wateja au...kuuza chopping board...

Anyway....siku ntajitahidi kuweka picha quality....Kama nitarudia...nimekoma
 
Nilitaka kumwambia atoe picha kabla smart people wa JF hawajaamka wakazoom mpaka ile sufuria kule pembeni uelekeo wa pilipili nikaona soo.
[emoji3][emoji3]
 
Tulienda kwny sherehe flani ya bank,ikawa ukimaliza kula unaletewa apple,fork na kisu ule hilo tunda.

Mwana mmoja amekomaa kukata hilo apple na hayo mambo ya kisu na uma aisee kila akikata apple sahani inatoa mlio kwa nguvu koooooooh maana anashindwa kutumia kisu kinateleza nikagonga sahani, nikamwambia bro unajichoresha hebu kamata apple kwa mkono,hahah.

Najua mada haihusiki lkn nimekumbuka hii kitu,kila kitu ni mazoea tu.
 
Hi
Habari menu,

Mimi nimezoea Sana Kutumia chopping board jikoni kiasi kwamba nikitumia mikono najikata Sana na kisu vidole.

Lazima nitumie chopping board kukata nyama, mboga zamajiani...vitunguu yaani almost kila kitu.

Chopping board yangu ni kuuu kuu Sana na more than ten years

Anyone else uses a chopping board like me, just wondering

Tecno yangu haitoi quality picha

Hii chopping Board imekuwa kama yale magogo ya buchani haifai tena
 
Bora ungeniambia hata PM[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]...maana nimekoma...hapo Ni jikoni...sufuria na hicho kinu nlichokua natwangia kitunguu swaumu Ni mahali pake...

Sio kwamba sufuria lipo juu ya Kochi au kinu kipo juu ta fridge.....

Sikua nafanya photoshoot yakutafuta wateja au...kuuza chopping board...

Anyway....siku ntajitahidi kuweka picha quality....Kama nitarudia...nimekoma
Niliogopa, ujue we kabla huja'change ID kuna muda ulikuwa una majibu yako unayajua mwenyewe. Sikutaka iwe ligi maana sikujua ni kwa namna gani ungepokea ndio maana nikamute...

Vitunguu kata round bwana, vitunguu vya round vinavutia. Ningekuonesha ila leo sina mpango wa kupika kabisa

Kuhusu CB mpendwa nunua tu nyingine, najua huwezi kosa 7500. Hela zimeota mbawa siku hizi lakini jitahidi tu....

Kuhusu picha wala haina shida, ila spices zako umechop kama bachelor wa kiume asiyejali katika suala la kula vitu vizuri.
 
Back
Top Bottom