Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Mimi kwa auto natumia mmoja, manual natumia miwili ikiwa mmoja ni wese na break mwingine krachiJe unatumia mguu mmoja au yote miwili kuendesha gari automatic?
Kwa gari ambayo ni manyo lazima utumie miguu yote miwili kuendesha. Mguu mmoja unazingatia wese na uo mwingine breki na klachi.
Kwenye autos break ndo iyoiyo inashift gia. Kwaiyo unaweza kutenga mguu kwa ajili ya kukanyagia wese tu na uo mwingine kwenye break.
Au unaweza kutumia mguu mmoja utakaouchagua kukanyaga plate zote mbili.
Je wewe unatumia mguu mmoja au yote miwili kukanyaga zile plate pale chini?
Hapa kama hauna D mbili za CUBA STATE UNIVERSITY huwezi kuelewa...Nasubiri nisome Comments nielewe kinachozungumzwa..
Na usiombe ukae mbele Karibu na Dereva hilo paja litasiginwa mpaka.Namwangaliaga tu dereva wa daladala anavyoendesha mkuu. Ngoja wenye magari waje
Nisaidie basi nielewe 😅😅😅😅Hapa kama hauna D mbili za CUBA STATE UNIVERSITY huwezi kuelewa...
Ndugu ulienda driving kweli wewe? Haya mambo mbona mepesi sana na unaelekezwa kabisa nini cha kufanya ukiwa driving school.Je unatumia mguu mmoja au yote miwili kuendesha gari automatic?
Kwa gari ambayo ni manyo lazima utumie miguu yote miwili kuendesha. Mguu mmoja unazingatia wese na uo mwingine breki na klachi.
Kwenye autos break ndo iyoiyo inashift gia. Kwaiyo unaweza kutenga mguu kwa ajili ya kukanyagia wese tu na uo mwingine kwenye break.
Au unaweza kutumia mguu mmoja utakaouchagua kukanyaga plate zote mbili.
Je wewe unatumia mguu mmoja au yote miwili kukanyaga zile plate pale chini?
Wewe hujawahi kuendesha Manual transmission. Mguu wa kushoto ni clutch pedal tu. Mguu wa kulia ndio wese na brake.Kwa gari ambayo ni manyo lazima utumie miguu yote miwili kuendesha. Mguu mmoja unazingatia wese na uo mwingine breki na klachi.
Kwani kutumia miwili kuna shida gani mkuu?Auto haishauriwi tumia miguu yote labda ka kuna kitu wakitaka
uko sawa kiongozi asanteMguu wa kushoto ni clutch pedal tu. Mguu wa kulia ndio wese na brake.