Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Kwa gari ambayo ni manyo lazima utumie miguu yote miwili kuendesha. Mguu mmoja unazingatia wese na huo mwingine breki na klachi.
Kwenye autos break ndo iyoiyo inashift gia. Kwaiyo unaweza kutenga mguu kwa ajili ya kukanyagia wese tu na huo mwingine kwenye break.
Au unaweza kutumia mguu mmoja utakaouchagua kukanyaga plate zote mbili.
Je, wewe unatumia mguu mmoja au yote miwili kukanyaga zile plate pale chini?