Je, unatumia mguu mmoja au yote miwili kuendesha gari automatic?

Je, unatumia mguu mmoja au yote miwili kuendesha gari automatic?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Kwa gari ambayo ni manyo lazima utumie miguu yote miwili kuendesha. Mguu mmoja unazingatia wese na huo mwingine breki na klachi.

Kwenye autos break ndo iyoiyo inashift gia. Kwaiyo unaweza kutenga mguu kwa ajili ya kukanyagia wese tu na huo mwingine kwenye break.

Au unaweza kutumia mguu mmoja utakaouchagua kukanyaga plate zote mbili.

Je, wewe unatumia mguu mmoja au yote miwili kukanyaga zile plate pale chini?
 
Je unatumia mguu mmoja au yote miwili kuendesha gari automatic?

Kwa gari ambayo ni manyo lazima utumie miguu yote miwili kuendesha. Mguu mmoja unazingatia wese na uo mwingine breki na klachi.

Kwenye autos break ndo iyoiyo inashift gia. Kwaiyo unaweza kutenga mguu kwa ajili ya kukanyagia wese tu na uo mwingine kwenye break.

Au unaweza kutumia mguu mmoja utakaouchagua kukanyaga plate zote mbili.

Je wewe unatumia mguu mmoja au yote miwili kukanyaga zile plate pale chini?
Mimi kwa auto natumia mmoja, manual natumia miwili ikiwa mmoja ni wese na break mwingine krachi
 
Me auto naweza both options

Miguu miwili au mguu moja

Safe & best option ni Mguu mmoja
 
Je unatumia mguu mmoja au yote miwili kuendesha gari automatic?

Kwa gari ambayo ni manyo lazima utumie miguu yote miwili kuendesha. Mguu mmoja unazingatia wese na uo mwingine breki na klachi.

Kwenye autos break ndo iyoiyo inashift gia. Kwaiyo unaweza kutenga mguu kwa ajili ya kukanyagia wese tu na uo mwingine kwenye break.

Au unaweza kutumia mguu mmoja utakaouchagua kukanyaga plate zote mbili.

Je wewe unatumia mguu mmoja au yote miwili kukanyaga zile plate pale chini?
Ndugu ulienda driving kweli wewe? Haya mambo mbona mepesi sana na unaelekezwa kabisa nini cha kufanya ukiwa driving school.
 
Natumia miguu yote kwenye Auto. (I'm left footed.)
 
Kwa kawaida ni mmoja, wa kulia. Unakua kwenye mafuta na muda mwingine unauamishia kwenye breki.
 
Auto kwenye kilima kikali chenye T-junction mbele na gari imesimama kusubiri usalama wa kuingia, kuimaintain gari isirudi nyuma unatumia miguu miwili, kushoto unakandamiza brake wakati wa kulia unasubiri kukandamiza mafuta ili uweze kuingia kwa uharaka...
 
Matumizi ya miguu mi2 au mguu m1 yatategemea na mazingira gani niliyopo wakati naendesha. Lakini muda mwingi natumia mguu mmoja tu.
 
Kwa gari ambayo ni manyo lazima utumie miguu yote miwili kuendesha. Mguu mmoja unazingatia wese na uo mwingine breki na klachi.
Wewe hujawahi kuendesha Manual transmission. Mguu wa kushoto ni clutch pedal tu. Mguu wa kulia ndio wese na brake.

Tukija kwenye auto transmission njia sahihi na inayofundishwa ni kutumia mguu mmoja wa kulia kwa ajili ya brake na mafuta, wa kushoto hauna kazi kwa sababu clutch haipo. Anaetumia miwili anakosea na waliomfundiha ndio walikosea zaidi kumuacha aendelee hivyo.
 
Back
Top Bottom