Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulivyoelezea nmevikumbuka hilo jina,ila sijawah kuulizia wanapikaje. Ngoja nikipata jibu sahihi ntakwambia,me hua natafuna tu vikavu nikivikutaViazi vitamu vilivyochepwa kisha vikaanikwa juani na kukauka.
Chakula maarufu usukumani
Hyo michembe naifaham ila kwenye mapishi ndo sifahamu sijawah kufatilia
Aisee napenda sana harufu ya iliki,naitumia kuchemshia kwenye wali nikipika wa mafuta. Itabd niongezee kwenye viaziVinapikwa na vinakuwa na rojo zuri tu yaani waeza jilamba tena kama unaweza unaweka na iliki kidogo yaani unaitwanga inakuwa laini kisha unamiminia ule muda umeweka tui la kwanza. Vinakuwa na harufu nzuri tu.
Ooh. Mi sijawahi hata kuiona.Hyo michembe naifaham ila kwenye mapishi ndo sifahamu sijawah kufatilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ulipika ongeza utaona ladha ilivyo nzuri.Aisee napenda sana harufu ya iliki,naitumia kuchemshia kwenye wali nikipika wa mafuta. Itabd niongezee kwenye viazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh. Mi sijawahi hata kuiona.
Had nshaanza kuskia harufu yake hahahaa. Ntaijaribu muhimSiku ulipika ongeza utaona ladha ilivyo nzuri.
Hahahaa. Pole.Ni chakula cha kwetu usukumani,ajabu sijui kuipika. Shame on me![emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa,ngoja nifanye hvyo,unaweza kukipenda kama unapenda viaz vitamu. Ntaleta mrejesho nikipata somo vzuriHahahaa. Pole.
Hebu jifunzage uje unipe darasa na mie.
Hahahaa. Lol. Uje tupike siku moja Pacha.
Huko nakumbuka zamani ukitaka nazi za bei nafuu mpaka kwenda Kilombero au Soko kuu. (Ndio kulikuwa karibu na kwetu tulipoishi). Sijui kwa sasa kama bado nazi zinapatikana kwa unafuu ule Pacha.
So namie nikaamua kujifunza kupika MISOSI MISOSIUwiiiii nje ya mada em nikuulize...hv una mpango wa kuoa kwel mkuu??
Maana nliskia ukiona mwanaume anapika chapati,maharage n anakuna naz huyo hana mpango wa kuoa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni chakula cha kwetu usukumani,ajabu sijui kuipika. Shame on me![emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Woow mama nmempenda,alikufundisha vema kabsa. Ni kwel kabsa hayoHahahahahha hamna ,Mama aliniambiaga Kijana akiwa anakua kupika, akawa Mara fulan abampikia mkewe ..hunogesha sanaSo namie nikaamua kujifunza kupika MISOSI MISOSI
Hahahaa me nmependa hii ya leo nmejifunza vingi sikuvijua. Kesho atuletee mapishi mengne ya huko tujifunze
Usnambie wakwetu!! nmefrahi kwakweli.... Hilo pishi unalifaham? Au we wa mjiniKumbeeee wakwetu eehhh
Haha il nazi sipendi sana maana naweza toa gesi siku nzimaIla jamani tunapenda chakula cha nazi lakini mtihani upo kwenye kukuna hiyo nazi.
Mi huwa mdada ndio kazi yake hiyo nikiwa naandaa huku yeye awe anakuna hiyo nazi. [emoji3][emoji3]
Hahahaha itabidi unipe shuleUsnambie wakwetu!! nmefrahi kwakweli.... Hilo pishi unalifaham? Au we wa mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimejikuta nacheka Sana.MTU mmoja akasema kumshika mwanaume shika tumbo lake na mapenziKiukweli hata Mimi jaman, napenda KULA MISOSI MITAMU TAMU NA MAPENZI ...
Hivi viwili vinafanya nijihisi nipo Dunian mwanaume mmoja tu