Je, unaungaje chakula chako kwa kutumia nazi?

Vinapikwa na vinakuwa na rojo zuri tu yaani waeza jilamba tena kama unaweza unaweka na iliki kidogo yaani unaitwanga inakuwa laini kisha unamiminia ule muda umeweka tui la kwanza. Vinakuwa na harufu nzuri tu.
Aisee napenda sana harufu ya iliki,naitumia kuchemshia kwenye wali nikipika wa mafuta. Itabd niongezee kwenye viazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha sawa pacha nitakuja
Hahahaa. Lol. Uje tupike siku moja Pacha.

Huko nakumbuka zamani ukitaka nazi za bei nafuu mpaka kwenda Kilombero au Soko kuu. (Ndio kulikuwa karibu na kwetu tulipoishi). Sijui kwa sasa kama bado nazi zinapatikana kwa unafuu ule Pacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahha hamna ,Mama aliniambiaga Kijana akiwa anakua kupika, akawa Mara fulan abampikia mkewe ..hunogesha sana
Uwiiiii nje ya mada em nikuulize...hv una mpango wa kuoa kwel mkuu??

Maana nliskia ukiona mwanaume anapika chapati,maharage n anakuna naz huyo hana mpango wa kuoa!

Sent using Jamii Forums mobile app
So namie nikaamua kujifunza kupika MISOSI MISOSI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…