Je, unaungaje chakula chako kwa kutumia nazi?

Safi sana my dear. Nimejifunza hapa.

Nieleweshe kidogo mwaya hilo chicken masala ni kwa ajili ya kuku pekee au hata mchuzi wa nyama naweza eka?
 
Nikipika wali na maharage ya nazi.

Wali natumia lile tui jepesi la pili.
Maharage natumia tui zito lile la kwanza.

Sinaga mambo mengi hapo nimemaliza, nakuwa na mchicha wa kukaanga pembeni.

Hata nikimix njegere na nyama nafanyaga hivyo hivyo. Sinaga mbwembwe sijui tui la kwanza na lapili me ni moja tu.
 
Daaahhh kuna mdada alikuja akanipikia wali Nazi... Njegele Nazi....maini akayakaanga , alafu nyama akaiwekea pia Nazi.


Sitosahau ,nilikula nikashibaaaaa , lkn bado nikawa hamu yakula haiishi ..


Hongeraaaa akina Dada !!
 
Gaucho uko vizuri sana.
 
Safi sana Mtani. Ladha yake si huwa unaiona ilivyotulia?
 
Daaahhh kuna mdada alikuja akanipikia wali Nazi... Njegele Nazi....maini akayakaanga , alafu nyama akaiwekea pia Nazi.


Sitosahau ,nilikula nikashibaaaaa , lkn bado nikawa hamu yakula haiishi ..


Hongeraaaa akina Dada !!
Hongera kwa huyo Mdada. Hivyo hapa ulivyoandika hamu imerudi. Lol

Haijawahi kutokea chakula cha nazi kilichopikwa kikapikika kikawa kinaisha hamu kirahisi rahisi na huwa si ajabu kama mpikaji yupo karibu ukawa unataka kila mara arudie kupika. πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…