Je, unaungaje chakula chako kwa kutumia nazi?

Je, unaungaje chakula chako kwa kutumia nazi?

Na vile azam wameturahsishia mambo bas hata ukiona uvivu wa kukuna unakimbia kwa mangi fasta kuchkua pakti yako ikamilishe mapishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi nije nijaribu kuipikia hiyo mana sijawahi japo huwa naziona huku kwa Mangi.

Hivi inakuwa nzito kabisaa au ndio ya kawaida tu na harufu je?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umenifrahisha,yaan utamu wa kiporo chake unaweza toboa sufuria ati

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha we acha Mkuu, chezea vipolo vyotee lkn sio kipolo cha wali Nazi...unaweza nunulia watoto ngano ,ili kipolo kibaki kua chako ..nabado watoto wakataka kipolo ikoiko mtoke pasu !!!!...


Sema siku hizi nikipika , napika lkn sienjoy kivile ,sijui kwann ??....
 
Hivi mkate wa mchele ndio mkate wa kumimina Shadeeya?? Ule unaopikwa na hiliki? Nautamani sana huo, sijui niende Tanga? Maana ndio wataalamu wa hiyo kitu🤪🤪🤪
 
Hahaha we acha Mkuu, chezea vipolo vyotee lkn sio kipolo cha wali Nazi...unaweza nunulia watoto ngano ,ili kipolo kibaki kua chako ..nabado watoto wakataka kipolo ikoiko mtoke pasu !!!!...


Sema siku hizi nikipika , napika lkn sienjoy kivile ,sijui kwann ??....
Raha ya chakula upikiwe,hata mm nikipika chakula wakati wa kula hua sienjoy vzur kama kile amepika mwingine then mm niwe mlaji ila ukitoka kupika af ukaanza kula kwel hata huenjoy vzur



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli ukioa na usinenepe basi wee una bila zako zakutaka kuonyesha kama mtoto wa watu hakujali
Hahahahaa hapo ndo umenena,oa mkuu uwe unapikiwa kila siku mahanjumati ya nazi.

No wonder mkioa hua mnanenepa,uhakika wa misosi mizuri upo kila siku[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Siunaona Enock Bwigane wa TBC alikua chembamba..lkn baada ya KUOA ,... Kawa kama kifutu ...

Lazma ninenepe tu
 
Sitasahau hyo siku nmerud likizo toka boarding nkakuta wamepika wali na njegere za nazi na nlikua napenda sana njegere

Hapo nlikua nmemiss msosi wa home bas nlikulaaa had nkavimbiwa[emoji23][emoji23] mateso yake sitayasahau

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kumbe unapenda wali njegere.... Jikaribishe kwangu, nikupikie nawewe kesho yake unipikie ..
 
Kwakweli ukioa na usinenepe basi wee una bila zako zakutaka kuonyesha kama mtoto wa watu hakujaliSiunaona Enock Bwigane wa TBC alikua chembamba..lkn baada ya KUOA ,... Kawa kama kifutu ...

Lazma ninenepe tu
Hahahahaa na kwel binadamu lazima waseme mkeo hakujali kumbe ni mwili wake tu hauna shukrani

Eeh kwel wakaka weng sana ukiangalia picha zao before n after ndoa kuna tofauti sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom