Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
- Thread starter
- #81
Na vile baba mnajua kujipendelea. 😀😀Hahaha we acha Mkuu, chezea vipolo vyotee lkn sio kipolo cha wali Nazi...unaweza nunulia watoto ngano ,ili kipolo kibaki kua chako ..nabado watoto wakataka kipolo ikoiko mtoke pasu !!!!...
Sema siku hizi nikipika , napika lkn sienjoy kivile ,sijui kwann ??....
Duuh!! Kwa nini sasa uenjoy au umezowea sana chakul cha kununua Mkuu?