Je, unaungaje chakula chako kwa kutumia nazi?

Je, unaungaje chakula chako kwa kutumia nazi?

Et nijikaribishe[emoji23][emoji23] napenda sana njegere.... nisipoipika njegere kama mboga bas ntaiweka kwenye wali,pilau, nyama yaan popote pale itakapofit mradi roho yangu isuuzike


Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaa!! Mi niliwahi kwenda kwa dada yangu naye alipika wali wa nazi akawekamo na njegere mule niliupenda kwani zilizidisha ladha fulani hivi.
 
Niligalagala hapo chini,nkawa siwez kupumua vzur sjui,maana tumbo limejaaa[emoji23][emoji23][emoji23] nilihangaika sana had nkaja kua sawa niliteseka mnoo ile siku,since then nikawa nakula kwa adabu.

Unajua utoto na mambo ya shule ile unapania msosi maana boarding ni makande ukibadili ni wali hata hauvutii sasa hapo unasema nikifika home misosi itanikomaa hee vikanitokea puani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Pole.
 
Yeaahh ,huwa tunajifanya tu ,lkn UKWELI nyumba ni mwanamke...na Mwanaume ni Mwanamke.

Imagine Chakula kinakupikia chakula chenzake hahahahahha ....unaanzaje kukonda ???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo hapo sasa,ushindwe ww tu kuchagua uanze kula chakula gan!! Hapo usipo nenepa bas kutakua na mkono wa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah nadhani ni ule moshi na harufu ya msosi me. Mm inanitokea sana nikipika samaki...ile process ya kukaanga then unakuja kuunga bas nikiona hyo hali hua baada ya kupika sili mda huo. Nasubir kama lisaa hv ndo naenda kula ndo ntaenjoy

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh. Angalau We unajipa nafasi.
 
Hahahahahha ukiwa na bajeti nabahiri hunenepi ....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo hapo sasa,ushindwe ww tu kuchagua uanze kula chakula gan!! Hapo usipo nenepa bas kutakua na mkono wa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa hauna ivo, hahahaha ni mwendo wa Kula chakula jikon kikiwa kinapika chakula chenzake.

Baadae ule chakula mezani, umalizie chakula Room
 
Ooh simple....kwa wali unachemsha njegere pembeni bt zisiive sana then ukiwa unapika wali baada ya maji kuchemka weka mchele + chumvi + mafuta then funika pika kwa moto mdogo maji yakikaribia kukauka weka njegere then geuza n funika had viive.... Moto mdogo unasaidia wali unaiva vzuri n hauunguzi
Namna ya kuvichanganya changanya Mkuu... Wali nyegere....Nyama nyegere... Nakitu ya Nazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom