Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Me nmezoea sjui nmekariri kuchemsha kwanza,sijawah kupika zenyew bila kuchemsha...ila nadhani ukiweka pamoja na wali zinaiva vzuriKumbe njegere zinachemshwaga kwanza? [emoji15] hapa kama ni mtihani ningefeli.
Mi nilijua zinawekwa ile baada ya kuweka mchele. [emoji85][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app