Je, unaungaje chakula chako kwa kutumia nazi?

Je, unaungaje chakula chako kwa kutumia nazi?

Em jaribu wali wa njegere,ila kama unahofu cheki kwanza youtube upate ujuzi vzuri.

Kuna group nmejiunga la mapishi fb ndo hua napata idea za mapishi. Vitu vingi najifunzia kule
Tatizo sijawahi kupika chakula nikaweka hizo njegere ujue mi huwa napika kawaida tu.

Ila nitajaribu na mie kuweka siku moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeh labda usitumie tui la 1 maana hilo ndo linakuaga na masharti balaa. Ukitumia la 2 simpo tu wala halina shida wali unatoka vzuri hyo siku nlishuhudia maana nlikua jikon



Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sawa. 🙏

Mana wali wa kawaida si lazima kuweka lile tui zito baada ya lile la kwanza kukauka sasa nikawa najionea Mtihani tu huko kwenye rice cooker.
 
Kwa baadhi ya mapishi nasikia yapo huko.

Nimeelekezwa kwenda kuangalia ubwabwa wa nazi ambao unawekwa njegere ndio sababu akaniambia niende google.

Sema mi naonaga huko google wanapika sana kizungu wakati mi mswahili. [emoji23][emoji23]
Viungo vyaoo.....me nikionaga sielewi naachana navyo natafuta vyakula vya kiswahili youtube ambavyo navielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sawa.

Vp hupikagi vitafunwa vya nazi ukatuelewesha hapa? [emoji85]
Hahahahaa katika vitu siwezagi ni vitafunwa yaan ngano sjui imenipitia kushoto mwee!!

Nakumbuka kuna kipindi nlisema nijifunze chapati,kilitoka kitu kigumuuuuu kama kaukau[emoji23][emoji23]
Nkaona isiwe shida,nkaacha na kujifunza bas sijarudiaga tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom