Je, unaungaje chakula chako kwa kutumia nazi?

Je, unaungaje chakula chako kwa kutumia nazi?

Ooh simple....kwa wali unachemsha njegere pembeni bt zisiive sana then ukiwa unapika wali baada ya maji kuchemka weka mchele + chumvi + mafuta then funika pika kwa moto mdogo maji yakikaribia kukauka weka njegere then geuza n funika had viive.... Moto mdogo unasaidia wali unaiva vzuri n hauunguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha nmescreenshoot ..sema jiko la gesi ,halijawah niacha salama kwenye kupika wali
 
Ooh simple....kwa wali unachemsha njegere pembeni bt zisiive sana then ukiwa unapika wali baada ya maji kuchemka weka mchele + chumvi + mafuta then funika pika kwa moto mdogo maji yakikaribia kukauka weka njegere then geuza n funika had viive.... Moto mdogo unasaidia wali unaiva vzuri n hauunguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe njegere zinachemshwaga kwanza? 😳 hapa kama ni mtihani ningefeli.

Mi nilijua zinawekwa ile baada ya kuweka mchele. 🙈🙈
 
MTU mmoja akasema kumshika mwanaume shika tumbo lake na mapenziKiukweli hata Mimi jaman, napenda KULA MISOSI MITAMU TAMU NA MAPENZI ...

Hivi viwili vinafanya nijihisi nipo Dunian mwanaume mmoja tu
Hahahahaaa. Umejua kunichekesha. Hahahaaa.

Ndio uoage sasa ili ujione uko peke yako kama usemavyo Mkuu.
 
Back
Top Bottom