Je, unaungaje chakula chako kwa kutumia nazi?

Je, unaungaje chakula chako kwa kutumia nazi?

DONDOO JIKONI: NJIA YA KUHIFADHI NAZI NZIMA ZIKAE MUDA MREFU BILA KUHARIBIKA: chukua mfuko wa unga/sukari utandike chini kisha chukua nazi uziweke juu ya huo mfuko huku ukiwa umeelekeza juu yale macho yake, yaani maji ya nazi yarudi chini na macho yaelekee juu kwani kinachofanya nazi iharibike upesi ni maji yakielekea upande wa macho. njia hii ni rahisi na nzuri sana, kwani inafanya nazi ikae bila kuharibika zaidi ya miezi minne(4)
 
Nimejifunza rafiki.

Huwa napataga shida hasa ule Mwezi wa Ramadhani kwani naletewaga nazi za kutosha ila mwisho wa siku nakuta zimeharibika kwani kama mimi nilikuwa naziweka tu sakafuni na nazilaza tu ilimradi na sio kwa huo mtindo wa macho kuangalia juu kama ulivyosema.
 
Elimu haina mwisho Shadeeya, kila kukicha wanadamu hujifunza maarifa mapya
 
Elimu haina mwisho Shadeeya, kila kukicha wanadamu hujifunza maarifa mapya
Hakika Ses. Hapa nimejifunza tayari.

Unakumbuka zile nazi ulizonletea za kule shamba? Sikukwambia tu ila kuna baadhi ziliharibika ujue.

Sasa hapa nshapata maarifa mapya sitegemei safari ijayo ziharibike tena.
 
Namimi pia nimepata hilo darasa hapa na ndio raha ya JF kwakweli. Jumapili naenda tena kwahiyo mara hii nikikuletea basi tutumie mafunzo hayo kuzihifadhi zikae kwa muda mrefu zaid my love
 
Natumia nazi ya Azam
Pakti moja ama mbili kama chakula ni kingi

nikipata nafasi kwenda sokoni ndio hununua ile fresh wanakuna kabisa hapo hapo

nikipika nagawa makundi mawili kama wewe...tui zito na jepesi
Naweka jepesi kwanza then zito mwishoni
 
Rafiki Mmeo anafaudu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nakuja unifundishe kupika madikodiko matam

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa. Lol. Kawaida tu rafiki.

Karibu sana rafiki kipenzi najua penye wawili hapaharibiki kitu tutapika na kuongezeana maujuzi sababu kupika sikuzote elimu yake huwa ni pana.
 
Lakini pia tunashauriwa Kula vyakula asilia kama mihogo magimbi na ukoo wake kuepukana na magonjwa yasiyoambukiza kama kisukari. presha. n.k

Ukishaichemsha ukaweka chumvi ya kawaida tu umemaliza

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika rafiki.

Mana mi pia kipindi cha mihogo mingi huwa napenda kuichemsha kwa kuweka chumvi tu na maji na ukishaiva nashusha kisha nanywea chai.
 
Back
Top Bottom