Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejifunza rafiki.DONDOO JIKONI: NJIA YA KUHIFADHI NAZI NZIMA ZIKAE MUDA MREFU BILA KUHARIBIKA: chukua mfuko wa unga/sukari utandike chini kisha chukua nazi uziweke juu ya huo mfuko huku ukiwa umeelekeza juu yale macho yake, yaani maji ya nazi yarudi chini na macho yaelekee juu kwani kinachofanya nazi iharibike upesi ni maji yakielekea upande wa macho. njia hii ni rahisi na nzuri sana, kwani inafanya nazi ikae bila kuharibika zaidi ya miezi minne(4)
Elimu haina mwisho Shadeeya, kila kukicha wanadamu hujifunza maarifa mapyaNimejifunza rafiki.
Huwa napataga shida hasa ule Mwezi wa Ramadhani kwani naletewaga nazi za kutosha ila mwisho wa siku nakuta zimeharibika kwani kama mimi nilikuwa naziweka tu sakafuni na nazilaza tu ilimradi na sio kwa huo mtindo wa macho kuangalia juu kama ulivyosema.
Hakika Ses. Hapa nimejifunza tayari.Elimu haina mwisho Shadeeya, kila kukicha wanadamu hujifunza maarifa mapya
Namimi pia nimepata hilo darasa hapa na ndio raha ya JF kwakweli. Jumapili naenda tena kwahiyo mara hii nikikuletea basi tutumie mafunzo hayo kuzihifadhi zikae kwa muda mrefu zaid my loveHakika Ses. Hapa nimejifunza tayari.
Unakumbuka zile nazi ulizonletea za kule shamba? Sikukwambia tu ila kuna baadhi ziliharibika ujue.
Sasa hapa nshapata maarifa mapya sitegemei safari ijayo ziharibike tena.
Aiseee🤣Aisee raha sana unakula wali nazi baadae unakula mpishi aliyepika walinazi kimasihara ! Just jokes ila pishi la nazi ni hataree
Sent using Jamii Forums mobile app
DuuhAisee raha sana unakula wali nazi baadae unakula mpishi aliyepika walinazi kimasihara ! Just jokes ila pishi la nazi ni hataree
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwel kibachelor ngumu,ila saiv kuna nazi za pact za azam unaweza kutumia hzo kupikia wali na mboga kama dagaa n njegere
Nazi za Azam hazina ladha kama za kupasua,za azam no flavour sio Nazi original
Sent using Jamii Forums mobile app
hongera ..unakuaje ukiiva maana si mchezoMie mchele nusu natumia nazi tatu ,napika kwa kutumia tui zito na sio jepesi ,zamani nilikuwa natumia tui jepesi lakin nazi ikawa haisikiki
Mtamu sana,yani unajisikia kweli umekula wali nazihongera ..unakuaje ukiiva maana si mchezo
Hahahaa. Lol. Kawaida tu rafiki.Rafiki Mmeo anafaudu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nakuja unifundishe kupika madikodiko matam
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika rafiki.Lakini pia tunashauriwa Kula vyakula asilia kama mihogo magimbi na ukoo wake kuepukana na magonjwa yasiyoambukiza kama kisukari. presha. n.k
Ukishaichemsha ukaweka chumvi ya kawaida tu umemaliza
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app