Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Dr Mwaka wa Plan InternationalMimi nimewakumbuka hawa
- Profesa Matunge r.i.p
- Hawa Nyamichwo r.i.p
- Ng'winzukulu Jilala r.i.p
- Profesa Majimarefu r.i.p
- Dr. Rahabu Lubago
- Dr. Isaac Ndodi
Dr Simon Sigwa wa Sinza MoriMimi nimewakumbuka hawa
- Profesa Matunge r.i.p
- Hawa Nyamichwo r.i.p
- Ng'winzukulu Jilala r.i.p
- Profesa Majimarefu r.i.p
- Dr. Rahabu Lubago
- Dr. Isaac Ndodi
Mwizukuru jilala.Mimi nimewakumbuka hawa
- Profesa Matunge r.i.p
- Hawa Nyamichwo r.i.p
- Ng'winzukulu Jilala r.i.p
- Profesa Majimarefu r.i.p
- Dr. Rahabu Lubago
- Dr. Isaac Ndodi
Yupo hai mkuuKumbe dr.Tahabu alishakufa! Kawapiga sana watu na midawa yake feki ya vidonda vya tumbo.
Dr manyau nyau vipi haingii hapo?😅😅Dr Mwaka wa Plan International
Dr. Manyufu mnyaganeMimi nimewakumbuka hawa
- Profesa Matunge r.i.p
- Hawa Nyamichwo r.i.p
- Ng'winzukulu Jilala r.i.p
- Profesa Majimarefu r.i.p
- Dr. Rahabu Lubago
- Dr. Isaac Ndodi
Huyo profesa Matunge alikuwa 'jiniaz' kuweza kucheza na akili za watu maisha yake yote mpaka kufa!Mimi nimewakumbuka hawa
- Profesa Matunge r.i.p
- Hawa Nyamichwo r.i.p
- Ng'winzukulu Jilala r.i.p
- Profesa Majimarefu r.i.p
- Dr. Rahabu Lubago
- Dr. Isaac Ndodi
Huyu Mwizukuru siyo ndiye aliyeuawa Msumbiji?au kupata ajali huko huko?Mwizukuru jilala.
Ndiye huyo.Huyu Mwizukuru siyo ndiye aliyeuawa Msumbiji?au kupata ajali huko huko.
Nakumbuka miaka ya 2007 kusoma habari zake kwamba amefariki na kuna wakati alimuoa Norah yule msanii wa Kaole Group.
Duuh!! Kweli ww ni mhenga. Prof Vulata yule mwenye sharafa nyingi mashavuni😀Professor Vulata