Je unawakumbuka herbalist maarufu wa kitambo hicho?

Nafasi ya hao ma herbalists imechukuliwa na mitume na manabii feki au hao waganga wa kienyeji wamejigeuza ni mitume na manabii ili kuendana na soko la ujanja wao linasoma wakati gani watu wana shida na matatizo na wanataka kufarijiwa na kina nani.
 
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom