DigitalEconomy
Member
- Mar 7, 2025
- 27
- 23
Bado mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyombo vya habari vilichangia pakubwa kwa kuwapromote.Asilimia 99 ya hao uliowataja ni Matapeli.
Watanzania wanapigwa sana na matapeli.
Wanapigwa kila kona.
MAsikini Tanzania yangu
Noma sanaaV.O.T kila kipindi mdhamini ni kigwangala.
mkuu nawew ni certified sangoma au?Bado mimi
kumbe ulikuwa wembamba wa njaa. njaa mbaya sana aisee 🤣🤣🤣Jaman kama hii list isingemtaja Isaac ndodi mimi ningejiuzulu, huyu bwana nlikuwa namwita Dr haleluya, kipindi anaaza, alikuwa anasema ukimkuta mtu ana kitambi piga viboko vya kutosha, alikuwa kakondeana hana hela alivyopata hela kanenepa kawa wa duara ukimuuliza imekuwaje unakula matusi....nimeweka picha ya wakati anaweza career yake na kusema tupigwe viboko na alivyo sasa 😂😂😂. Nlikuwa nkikaa star tv kwa kipindi chake nacheka sana....
Hivi kwa wazoefu na wafuatiliaji wa hizi mambo nina swali kwenu.Mimi nimewakumbuka hawa
- Profesa Matunge r.i.p
- Hawa Nyamichwo r.i.p
- Ng'winzukulu Jilala r.i.p
- Profesa Majimarefu r.i.p
- Dr. Rahabu Lubago
- Dr. Isaac Ndodi
dawa OG zinazotibu zipo na za kubumba za matapeli zipo. inategemea wewe umekutana na nani. ila hawa wa mijini wengi wapigaji. wengi wenye dawa OG hawajitangazi na wengi wapo vijijini ndanindani uko.Hivi kwa wazoefu na wafuatiliaji wa hizi mambo nina swali kwenu.
Je hawa watu ni kweli dawa zao huwa zinatibu kiuhakika au ni wajanjawajanja tu wa mjini?
Hapo sawa nakubaliana na wewe hata mimi mawazo yangu yalikuwa hivyo.dawa OG zinazotibu zipo na za kubumba za matapeli zipo. inategemea wewe umekutana na nani. ila hawa wa mijini wengi wapigaji. wengi wenye dawa OG hawajitangazi na wengi wapo vijijini ndanindani uko.
haahaa haiko ivo kiongozi. ukiwa mfatiliaji wa mambo yanavoenda kwenye jamii yako auwezi kukosa kufaham vitu vidogo kama ivi hasa kwa watu kama hawa ambao wengi walikuwa wanajitangaza wenyewe kiuwazi tu.Kama unakumbuka majina haya yote bila shaka wewe ni mshirikina kwa Sasa au umeokoka
Njaa mbaya mkuu si umeona alivyo sasa, nimeona kuna mtu anawaambia watu huko kwenye mitandao kwamba unaona njaa unayosikia wakati wa kufunga ? Hiyo njaa ndio kuna watu hayo ndio maisha yao daily.kumbe ulikuwa wembamba wa njaa. njaa mbaya sana aisee 🤣🤣🤣
media zinataka mshiko tu jomba. ukileta mshiko unatangaziwa tu biashara yako hata kama haielewekiVyombo vya habari vilichangia pakubwa kwa kuwapromote.
Kanuni ni ile ile popote utapoenda kuwa makini na mtu mwenye maneno mengi.Halafu kwa nini wengi wao wanapepeta mdomo?
mkuu autaki toa kibunda🤣Kanuni ni ile ile popote utapoenda kuwa makini na mtu mwenye maneno mengi.
Mimi ukianza tu story nyingi kengele ya hatari huwa inalia kichwani kwangu naanza kuongeza umakini.
Dr.Ndulu na Dr NdodiMimi nimewakumbuka hawa
- Profesa Matunge r.i.p
- Hawa Nyamichwo r.i.p
- Ng'winzukulu Jilala r.i.p
- Profesa Majimarefu r.i.p
- Dr. Rahabu Lubago
- Dr. Isaac Ndodi