Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Watu wote uliofanya nao s€x unawakumbuka kwa majina na sura au list ni ndefu sana huwezi kukumbuka? Kama hukumbuki majina, unafahamu idadi yao?
Kwenye replies za Utamu wa tunda - Part 1 kuna mtu aliniuliza nakumbukaje mdinyo wa miaka 25 iliyopita.
Mimi watu wote niliowafurahia na kuwapa chini nawakumbuka kwa majina, sura na wengine walioacha alama, basi nakumbuka mpaka raha walizonipa kwa ujuzi na utundu wao.
Vipi wewe?