Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,310
- 5,669
kwannMbn umebadilik ghafla
kwannMbn umebadilik ghafla
Usiandike full names, jina la kwanza tu linatosha 😂Nawakumbuka wote,list ndefu .
Tukisema tuandike full names humu tutachanganyana balaa
Umejitunza sana, sio mbaya 🙌 👌Wapo 10 tu, nawatambua wote kwa majina
Mke wangu niliyenaye hivi sasa ndo wa 10, na ni mwaka wa 15 sasa kwenye ndoa, nimetuliaUmejitunza sana, sio mbaya 🙌 👌
Duh. Sijazidi wanawake 11.Hesabu ya mwaka 2019 ilikuwa ni wanawake 350 hapo ni hesabu za tangu nianze mapenz Kwa mara ya kwnz kwa house girl wetu nikiwa Primary school..
Sijafanya hesabu nyingine tangu mwaka 2019..
Mi nawakumbuka kwa sura tu na shape zao!Watu wote uliofanya nao s€x unawakumbuka kwa majina na sura au list ni ndefu sana huwezi kukumbuka? Kama hukumbuki majina, unafahamu idadi yao?
Kwenye replies za Utamu wa tunda - Part 1 kuna mtu aliniuliza nakumbukaje mdinyo wa miaka 25 iliyopita.
Mimi watu wote niliowafurahia na kuwapa chini nawakumbuka kwa majina, sura na wengine walioacha alama, basi nakumbuka mpaka raha walizonipa kwa ujuzi na utundu wao.
Vipi wewe?
View attachment 3379074
Jitahidi mkuuDuh. Sijazidi wanawake 11.
Haha. InatoshaJitahidi mkuu
Hongera sana kiongozi 👏Mke wangu niliyenaye hivi sasa ndo wa 10, na ni mwaka wa 15 sasa kwenye ndoa, nimetulia
Ila Oscar, eti "mkutano wa halaiki" 🤣🤣🤣🤣Kwa umati ule ni vigumu kuwakumbuka wote, maana ni mkutano wa halaiki
Majina je?Mi nawakumbuka kwa sura tu na shape zao!
Inapendeza sanaDuh. Sijazidi wanawake 11.
ShukraniHongera sana kiongozi 👏
Najuwa mmoja anaitwa Wewe na mwingine ni Yule.....kwa kweli siwakumbuki majina yao zaidi ya sura tu.Majina je?
Safi atleast unakumbuka sura zao.Najuwa mmoja anaitwa Wewe na mwingine ni Yule.....kwa kweli siwakumbuki majina yao zaidi ya sura tu.
Bila shaka hii haiwahusu wa Riverside, Corner Bar, Massage Rooms etc...maana sidhani kama kuna kuulizana majina 😀Watu wote uliofanya nao s€x unawakumbuka kwa majina na sura au list ni ndefu sana huwezi kukumbuka? Kama hukumbuki majina, unafahamu idadi yao?
Kwenye replies za Utamu wa tunda - Part 1 kuna mtu aliniuliza nakumbukaje mdinyo wa miaka 25 iliyopita.
Mimi watu wote niliowafurahia na kuwapa chini nawakumbuka kwa majina, sura na wengine walioacha alama, basi nakumbuka mpaka raha walizonipa kwa ujuzi na utundu wao.
Vipi wewe?
View attachment 3379074