Je unawakumbuka kwa majina watu wote uliokutana nao kimwili?

Je unawakumbuka kwa majina watu wote uliokutana nao kimwili?

njemba 5 dadeqiiiii,,,majina isjekua wapo humu
Wewe ndiyo mwenye namba ndogo kati ya wote waliochangia huu uzi 😅
Humu kuna watu wamesema wameshakulana na watu 300, mwingine 150, nimechoka.
 
huwez sema namba ndogo kwa compare ya wanaume 😆kwa mdada hio n too much
Siyo too much, hapo ni mtu umejitunza vizuri.
Sema wengi huwa tunadanganya tu kuhusu body count zetu 🤭 😅
 
Ndio kazi yake iyo maana huwez ifanya dodoki ikaosha sufuria😂😂
giphy.gif


Nagalagala kwa kicheko, Aiseeeeeh 🤣
 
32 tu na nishafunga ukurusa wa kutia mademu hovyo.
 
Back
Top Bottom