Je unawakumbuka kwa majina watu wote uliokutana nao kimwili?

Je unawakumbuka kwa majina watu wote uliokutana nao kimwili?

Inaonekana wenye majina ya G ndiyo type yako, japo that math ain't mathing 😂😂😂😂
Nilisoma uraia na fasihi, kwahiyo masuala ya hesabu nzito kama hizi siwezi, kuhusu G ,sijui Kwanini ndo nakutana nao maybe as you said ndo taipu yangu 😌
 
Watu wote uliofanya nao s€x unawakumbuka kwa majina na sura au list ni ndefu sana huwezi kukumbuka? Kama hukumbuki majina, unafahamu idadi yao?

Kwenye replies za Utamu wa tunda - Part 1 kuna mtu aliniuliza nakumbukaje mdinyo wa miaka 25 iliyopita.
Mimi watu wote niliowafurahia na kuwapa chini nawakumbuka kwa majina, sura na wengine walioacha alama, basi nakumbuka mpaka raha walizonipa kwa ujuzi na utundu wao.

Vipi wewe?

View attachment 3379074
Mimi wapo 500+ Sasa nitawakumbukaje?
 
Mimi wapo 500+ Sasa nitawakumbukaje?

giphy.gif


Kweli huwezi kuwakumbuka
 
Back
Top Bottom