Je unawakumbuka kwa majina watu wote uliokutana nao kimwili?

Je unawakumbuka kwa majina watu wote uliokutana nao kimwili?

Mi nawakumbuka wote wote..
Ila kwa majina hapo ndo changamoto mana kuna marafiki wengine walikua ni wale marafiki wa shangazi hvo unakuta nakula tuu bila kujuana majina aiseee...

Ila nakumbuka kwa idadi na wengi naokumbuka majina ni mabinamu..

Aiseee nimekula kula binamu hawa acha tuuu mungu anisamehe kwa kweli kwa sasa nimetubu tajitahidi niaz kujua majina ya maswahaba kwanza 😂😂😂
 
Back
Top Bottom