Je unawakumbuka kwa majina watu wote uliokutana nao kimwili?

List yangu:
1) Nyamayao
Huyu mtoto wa Kizaramo mwenye makalio yaliyo tawanyika na cheko lake la kenge, alijua kutumia viungo vya mwili wake.
Anyway ndio Dem wangu wa kwanza.

2)Sikuzani
Mungu alikuumba na sura ya upole na mtundu kitandani, ulinilisha kwa tambo na umbo na mbilinge ndani.
Sasa umekuwa mke wa mnene Fulani.

3)Asha ugoko
Katoto ka Temeke
Ulifanya niheshimu wanawake wembamba, aisee kwa mara ya kwanza kuona chumba kidogo ni wewe.

4)Amina wa Sayi mbeya
Huyu ana baraha na nusu, yupo tayari ashinde njaa ila midabangulo kama kawa.

Nilikuelewa mno ila tamaa ya kuolewa ikabidi uende kwa yule muhindi mweusi wakati Mimi sijui nikanyage moja au nipande na mbili ndio nitoboe.

5)Mke wangu
Nilikuolea akili upole na tabia njema basi. Hila hizo namba hapo juu zilikuacha mbali
 
Bora ulipita huko kote kwa akina Nyamayao na Asha ugoko kabla hujaoa.
Hukukosea kuchagua akili na tabia njema kwa mkeo 💯
 
Mh labda wasomali na wengine wasio na maumbo na rangi za kushawishi mfano wao.
Jamani mbona wasomali ni warembo sana

somali woman copy.jpeg
 
Back
Top Bottom