Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Nimekumiss mdogo ake, umepotelea wapi?Nilipita kidogo
Nimekumiss pia dunia inanifunza mambo mengi mda unapaaNimekumiss mdogo ake, umepotelea wapi?
Nini tena? masomo mazuri au yale magumu ya kukukomaza?Nimekumiss pia dunia inanifunza mambo mengi mda unapaa
Yote mamyNini tena? masomo mazuri au yale magumu ya kukukomaza?
Hawa NDO wamekuingilia kimwil ulowakumbuka?CC:
Mbaga Jr
secretarybird
Shyshka Reinhardt
Anastasia21
Mama Ndege ,
realMamy
Annie X6 ,
KERATO MOMBAA ,
na my son Poor Brain
Kipenzi Nusratt nimekumiss, uko wapi?
Yani kuna watu wanajaza kijiji kwa idadi 😂Kuna watu watajaza page kumi hapa
Anna, hebu niache 🤣🤣🤣🤣🤣Hawa NDO wamekuingilia kimwil ulowakumbuka?
Duuh hata makadirio ya idadi huwezi kufanya?Kama sikumbuki idadi nitawezaje majina!?
Mm ni bwanaake Anna sio AnnaAnna, hebu niache 🤣🤣🤣🤣🤣