Wakati naijua JF 2010 na nikajiunga 2011 nilikua bikra simjui mwanaume 😅kwahiyo hapo ulipo mpaka unaijua jf naniii yako haijawahi kuchapwa..??
Basi hawatufai kwa Uzi wetu,🤣Hapana hawa wote ni mabikra wanajituza kwa ajili ya wake na waume zao watarajiwa.
Kwamba huwa mnasex na watu hamuwajui hata majina 🤣🤣 ila wanaume 🙌Kuna wengine siwajui majina na kuna wengine niliyajua majina yao after sex
Nipe mimi basi hicho kidude...Wakati naijua JF 2010 na nikajiunga 2011 nilikua bikra simjui mwanaume 😅
Mkaskazini mbona hivyo, kuna nini tena?🚮🚮🚮🚮
Umejitahidi kutoruka ruka, vipi kati yao akina nani ni mishangazi?1.Asnath
2.Sabra.
3.Jackline
4.Mayra
5.Nataliya
6.Domina
7.Rukia.
Hao tu.
Kati yao Singo Mama ni mmoja alikua anajali kidogo nizame mazima nikamkimbia maana nilikua namtafutia kosa ila hanikosei na nikikosea mimi ananiomba msamaha yeyeUmejitahidi kutoruka ruka, vipi kati yao akina nani ni mishangazi?
Kibamia, na rangi za chupi zao ukawa unaweka kwenye kumbukumbu, Aiseeh.Ngoja niingie kwenye black book yangu nishushe majina nanranginga chupi waliokiwa wamevaaa.
1) madikulo...chupi ya chui chui
2)lerato ....huyu chupi white
3)veronica....chipi rangi ya cream
4) carol... Sikumbuki tulikulana club
5) sweetie...chipi ya pink
6) aisha huyo alikuja bila chupi
7) ntobiseng ....chupi ya kamba ata rangi sijui unaonaje
8) koku....totoz ya kihaya chupi nyeusi
9) patricia chupi nyekundu
10) veronica ...huyu no chupi alikuja nandera
Sure mfano unaweza kutana mwanamke zaidi ya mara tano ukaamua uombe namba kuuliza jina utaona jau maana hakutaki aone kuwa hata jina lake humjui unamtongoza anakubali je utauliza jina lake ili akuone unadharauKwamba huwa mnasex na watu hamuwajui hata majina 🤣🤣 ila wanaume 🙌
Muache mtoto wa watu anajitunza 🤣Mkuu pull up ur socks.....ur report card does not make for good reading🤣🤣🤣🤣
😅 😅 Wewe tena uache kuiomba 🍑Nipe mimi basi hicho kidude...
Alifall in lavu jamani 🥹 halafu ukamzinguaKati yao Singo Mama ni mmoja alikua anajali kidogo nizame mazima nikamkimbia maana nilikua namtafutia kosa ila hanikosei na nikikosea mimi ananiomba msamaha yeye
Hahaha 😆Kuna watu watajaza page kumi hapa
So ukishaichapa halafu ukauliza jina ndiyo inakua siyo dharau sana, au unakua ushamlainisha hajali.Sure mfano unaweza kutana mwanamke zaidi ya mara tano ukaamua uombe namba kuuliza jina utaona jau maana hakutaki aone kuwa hata jina lake humjui unamtongoza anakubali je utauliza jina lake ili akuone unadharau
Mh! nipe usininyime mi mwenyewe bado bikira la kiume!, so itakuwa ngoma droo yani bilabila!😅 😅 Wewe tena uache kuiomba 🍑
Sawa basi acha tupeane tufundishane mapenzi.Mh! nipe usininyime mi mwenyewe bado bikira la kiume!, so itakuwa ngoma droo yani bilabila!
Nilikuwa nakutunzia wewe baby wangu nikupendae!Sawa basi acha tupeane tufundishane mapenzi.
Wewe mwenzangu ulikua unamtunzia rungu lako nani?
Ambao hatujawai kufanya , tunapita kimya kimyaWatu wote uliofanya nao s€x unawakumbuka kwa majina na sura au list ni ndefu sana huwezi kukumbuka? Kama hukumbuki majina, vipi kuhusu idadi?
Kwenye replies za Utamu wa tunda - Part 1 kuna mtu aliniuliza nakumbukaje mdinyo wa miaka 25 iliyopita.
Mimi watu wote niliowafurahia na kuwapa chini nawakumbuka kwa majina, sura na wengine walioacha alama, basi nakumbuka mpaka raha walizonipa kwa ujuzi na utundu wao.
Vipi wewe?
View attachment 3379074