Je unawakumbuka kwa majina watu wote uliokutana nao kimwili?

Kibamia, na rangi za chupi zao ukawa unaweka kwenye kumbukumbu, Aiseeh.
Naona Veronica na Aisha hawakutaka mambo yawe mengi 🤣
 
Kwamba huwa mnasex na watu hamuwajui hata majina 🤣🤣 ila wanaume 🙌
Sure mfano unaweza kutana mwanamke zaidi ya mara tano ukaamua uombe namba kuuliza jina utaona jau maana hakutaki aone kuwa hata jina lake humjui unamtongoza anakubali je utauliza jina lake ili akuone unadharau
 
Kati yao Singo Mama ni mmoja alikua anajali kidogo nizame mazima nikamkimbia maana nilikua namtafutia kosa ila hanikosei na nikikosea mimi ananiomba msamaha yeye
Alifall in lavu jamani 🥹 halafu ukamzingua
 
Sure mfano unaweza kutana mwanamke zaidi ya mara tano ukaamua uombe namba kuuliza jina utaona jau maana hakutaki aone kuwa hata jina lake humjui unamtongoza anakubali je utauliza jina lake ili akuone unadharau
So ukishaichapa halafu ukauliza jina ndiyo inakua siyo dharau sana, au unakua ushamlainisha hajali.
 
Ambao hatujawai kufanya , tunapita kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…