Je, unaweza kuacha mshahara wa milioni 7.8 na kuwa Mkuu wa Wilaya anayelipwa milioni 3 kwa mwezi?

Je, unaweza kuacha mshahara wa milioni 7.8 na kuwa Mkuu wa Wilaya anayelipwa milioni 3 kwa mwezi?

ILA watajutia kukataa uteuzi ni dharau na kibri kwa mkuu wa nchi....kuna kitengo kitashughulika nao tena kimyakimya bila kelele! Labda kelele watapiga wao na si ajabu mkashangaa watu wakakimbilia kuropoti.. Serikali ni sirikali haijawahi kushindwa!
Sio wa kwanza hao kukataaa... Watu walikataaa Kwa Magufuli na maisha yakaendelea ndio iwe Kwa huyu!!??
 
Zama za Giza zilishapita, Mungu alimaliza ugomvi Kwa umahiri.
Acha ujinga na upumbavu watu kibao wali kataa uteuzi hata wakati wa Magufuli uliona walionewa au kufanyiwa ubaya? Punguza ujinga!
Huyo Japhet Maganga huwezi jua ana majukumu gani labda anamambo yake anataka kuyasimamia kwa ukaribu au hataki tena majukumu ya kumbana!
 
MAMBO yamekuwa MAMBO .Wewe ni MTUMISHI wa TAASISI fulani unalipwa MSHAHARA wa Tsh.Mil.7.8
UNATEULIWA kuwa DC ili Upate MSHAHARA wa Tshs Mil.3 na SHANGINGI
Je UTAKUBALI TEUZI au UTAKATAA?
Unatakiwa utambue kitu hapa, viongozi wengi walioteuliwa ni watu wasio na ujuzi ama uwezo wowote ule, wengi wao ni chakula cha mtu fulani serikalini au fala tu asiyejitambua. Hawa kazi yao kubwa ni kama hivyo kusujudu muheshimiwa na kumpigia makofi, wakiachishwa kazi wanakuwa na wakati mgumu sana wa maisha. Waonee huruma tu na kuwasamehe.
 
ILA watajutia kukataa uteuzi ni dharau na kibri kwa mkuu wa nchi....kuna kitengo kitashughulika nao tena kimyakimya bila kelele! Labda kelele watapiga wao na si ajabu mkashangaa watu wakakimbilia kuropoti.. Serikali ni sirikali haijawahi kushindwa!

Mama ni mkomavu wa siasa atawasamehe kama mwinyi alivyomsamehe aliyempiga kibao
 
Ukiwa mpigaji mzuri huo mshahara 3m ni WA kununua soda tu! Kumbuka wewe unaidhinisha kila kitu, mkurugenzi hawezi kula kabla wewe hujala. Ila tatizo ni kutumbuliwa wakati wowote.

Weee mkurugenzi anakula sana peke yake!
Nina mfano wa mkurugenzi mmoja kabla hajawa mkurugenzi alikua mhasibu bas weeee anazipiga za halmashauri vibaya sana kila wiki anaindoka na milion!
Anajisainisha posho za wafanyakazi wengine
Pia kuna zile za kila mwezi za kila idara anazipiga balaaa mkuu wa idara hapewi hela ya mwezi isipokua kama unashida ya mafuta useme kama una shida ya stationary useme sh ngap na uonyeshe mchanganuo
Wafanyakazi wanaliaaa ukata lakin weee unaanzia wapi kuripot? Labda kama hujipend!
Hlf huyo mkurugenzi hana habar hapani na mtu kifala! Mkuu wa wilaya mwenyewe wanakutana kwenye matukio maalumu tu
 
Shida mtu umtoe dar unampeleka kigoma huko hata lami hamna then umshushe mshahara kutoka 7.8 mpk 3 milion halaf huku kuna hela za wajinga unazipiga kila mwezi
 
Hivi wakuu wa wilaya hata kama wanalipwa 3M si wana mianya mingi ya kupiga pesa ? Au huko nako kumebana wadau ?
Labda kama una maelewano mazuri na mkurugenzi wa halmashauri maana uko ndo kwenye pesa lasivyo utakuwa mpiga domo tu jukwaani. Ukiona mkuu wa wilaya na mkurugenzi wa halmashauri hawaelewani ujue mkurugenzi anakula peke yake
 
Weee mkurugenzi anakula sana peke yake!
Nina mfano wa mkurugenzi mmoja kabla hajawa mkurugenzi alikua mhasibu bas weeee anazipiga za halmashauri vibaya sana kila wiki anaindoka na milion!
Anajisainisha posho za wafanyakazi wengine
Pia kuna zile za kila mwezi za kila idara anazipiga balaaa mkuu wa idara hapewi hela ya mwezi isipokua kama unashida ya mafuta useme kama una shida ya stationary useme sh ngap na uonyeshe mchanganuo
Wafanyakazi wanaliaaa ukata lakin weee unaanzia wapi kuripot? Labda kama hujipend!
Hlf huyo mkurugenzi hana habar hapani na mtu kifala! Mkuu wa wilaya mwenyewe wanakutana kwenye matukio maalumu tu
Mkuu wa wilaya ni mjumbe wa Kamati ya siasa ya wilaya, ni Mkurugenzi mjinga tu peke yake ndio hawezi kwenda sawa na Dc ambaye kimamlaka ni mkubwa wake wa kazi.
 
Back
Top Bottom